Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Umewahi kufikiria faida zinazopatikana kwa kumkumbatia mkeo mkiwa mmelala? Famasia yako ya Ndoa Maridhawa inakuletea faida 6 za kukumbatiana kitandani: 1. HUPUNGUZA SHINIKIZO LA KISAIKOLOJIA...
19 Reactions
124 Replies
23K Views
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI* *1. Tamaa ya utajiri* fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi...
7 Reactions
48 Replies
6K Views
Kulikuwa na familia ya kitajiri ya Mr & Mrs Rupert, walikuwa ni matajiri waliotingisha Dunia wenye mali zilizofikia dola billion 62 ukijumuisha viwanja vya ndege binafsi na makampuni karibu kote...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
1) Lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wakutosha Haya mambo ya tutaonana tu mara samahani naomba nitumie 10,000 au 20,000 unatoa utachukia wanawake...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mi sio kama Gudume kila siku kubadilisha mademu mimi ni kama Mshana Jr tu kamoyo kangu kuna Kiumbe umeshaanza kumdondokea humu jf soon Natangaza nia. Stay tuned kwa Update yeyote kutoka sasa...
4 Reactions
170 Replies
8K Views
Hili suala linatesa sana haswa kwa wenzangu wanaopenda mitoko ya usiku,kama huna gari manzi wako anaondoka na mwenye gari tatizo nini wanawake? je gari ndio linaonesha status ya mtu kitaani? kwetu...
7 Reactions
687 Replies
39K Views
Miaka 7 imekaribia kufikia September 28 siku ilikua ni ya Jumanne. Nikiwa ndani na siku moja kabla nikiwa nimepambwa mwenyewe. Nilipendeza kwa kweli japo kiroho kilikua kinadunda vibaya mno...
14 Reactions
121 Replies
12K Views
Kwamba " ukitaka kujua kuishi vizuri na Mkeo au Mpenzi wako siku moja jaribu kwenda kupiga Chabo Loji au Gesti uone wenye Wake zao na Wapenzi wao wanavyofanywa / wanavyofanyiwa ". Nimemsikia Mama...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Umekuwa katika mahusiano naye kwa muda mrefu hivyo bila shaka unamjua vilivyo! Pengine mpo ndani ya ndoa kabisa au mahusiano tu ambayo mnaishi pamoja kwa ukaribu sana. Sasa kwa kawaida lazima...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Aisee kuna kipindi Kwenye uhusiano inafika Unajikutaa umemchokaa sana Girl wako na hunaa hisia nae Kabisa.. Sema unakuwa unaendelea nae sababu Unamuonea huruma vile anakupenda sanaa na...
6 Reactions
64 Replies
5K Views
Ninashindwa kuelewa ni kwanini sasa hivi kuna kauli za baadhi ya wanandoa kusema eti wameoana naona hiki ndio chanzo cha kuporomoka maadili ya jamii. Katika dini zote na mila zote ninazofahamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miaka michache hapo nyuma niliwahi kuwa na mahusiano na mwanamke mmoja tatizo lake alikuwa muoga sana ilipofika hatua ya mimi kutaka kushika simu yake hatukudumu sana nikaona ukakasi nikaachana...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wapendwa, Sina maneno mengi zaidi, naomba msaada wenu wa mawazo katika hili. Kuna binti nilikuwa nae kimapenzi sasa kuna kipindi alinikalia kimya na nilipofuatilia nini tatizo niligundua...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza sms za mpenzi wangu zimefumaniwa na mchumba wangu kipindi nimeacha Simu ndani nimeshindwa jinsi ya kujitetea kabisa ivi ameondoka kaenda kwao na...
3 Reactions
38 Replies
7K Views
Hivi karibuni kumekua na wimbi la watekaji, nina rafiki yangu alipotelewa na mke akafanya juhudi zote za kumtafuta. Siku ya kwanza alimpigia simu yake ikawa inaita tu bila mfanikio. Siku ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Kuna tatizo la wanawake kusingiziwa magogo kitandani hii ni kwa kuwa hawajawa matured enough sababu zingine si sana. Wanawake wengi huwa wanakomaa (maturity) kati yamiaka...
0 Reactions
44 Replies
12K Views
Habari,wakuu kuna dada mmoja nimempenda huwa mara nyingi tumekuwa tukionana mara kwa mara katika mizunguko yangu , jana nimechukua namba yake ya simu, ila nashindwa kumpanga tuweze kukutana tena...
1 Reactions
53 Replies
8K Views
Mimi ni mmoja ya wanaume ambao nina marafik weng wakike kutokana na shughuli zangu ninazofanya.. So muda mwingi napata story zao na tunashare ideas na mambo mengi kuhusu love life? Kuna...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Halo asubuhi ikoje huko,? Naelekea kwenye mada moja kwa moja, Najua hakuna binadamu aliyekamilika, Kila mtu ana mapungufu yAke Mwenzangu ana mapungufu haya 1. Mkikorofishana ananuna siku nzima...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Naomba kuelimishwa. Je ni sahihi mtu wa kawaida kua na uhusiano wa kimapenzi na mbilikimo? Mfano, mtu wa kawaida kama 6 feet tall anaweza kumuoa mbilikimo? Je size ya maumbile yao yataendana...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…