Eti ni kweli wanawake wana roho mbaya na gubu?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,597
154,860
Nilikuwa natokea Mwenge kuelekea Posta kwa daladala.
Garini nilikaa na bonge la sista duu lenye mapozi ya kumwaga, nilipo msalimia anabetua midomo kwa dharau na hakujibu salamu yengu.
Njia nzima tukaenda kibubu bubu. Tulipofika Posta mpya kukawa na kijifoleni fulani cha mabasi.
Nje ya gari alikuwa anapita demu mzuri na amependeza mpaka kupitiliza, yule binti nliyekuwa nimekaa naye kwenye daladala akaniongelesha , mwuone huyo dada anajishebedua tu, wala hajapendeza.
Nikamuuliza unamfahamu/ akajibu hamfahamu.
Nikashangaa sana.
 
Hapo unapogenerolaiz watu ndio panaponiacha!Siungesema hivi kuna wanawake?!Nwyz inawezekana wivu tu na ushamba ndo unamsumbua!
 
Ukikutana na mtu wa namna hiyo ujue hajaelimika, hata kama amesoma. Vipi, unashika time yako.
 
Kuna jamaa alimtokea mdada, mdada akaanza kumaka kwa sauti......"unikome uwafuate hao hao, mimi huwezi kuniambia maneno hayo....." Jamaa kuona sooo imezidi akapandisha sauti juu........."...ahaah bwana sasa ukijamba ndio usiambiwe? wewe umekaa kwenye kadamnasi kama hivi...halafu unajamba kwa nguvu...then ukiambiwa unakuwa mkali?" dada aliona aibu ilibidi apotee...muwe wastaarabu...mtu akikusalimia sio anakutaka hivyo mwitikie salamu yake...pia mtu akikutokea....mjibu kistaarabu kwamba haiwezekani, sio unapayukapayuka tuuuu....
 
wew ebu acha makusanyo yako..ULIKUTANA NA MWANAMKE KWENYE BAS AU ULIKUTANA NA WANAWAKE WOOOOOOOOOOOOOTE DUNIAN KWENYE BUS MPKA ukageneralizew wanawake wote wana dharau>???

ebu acha kudhalilisha wanawake daily wanawake ivi mara vle..kukutrana na mmoja ndo wooooote wamekuwa na dharau na gubu...ningekuona wee ningekuchapaaaaaaaaaaaaaaaa mpk ukome....

vp mwenye dharau wako pale kat hajambo..?
nb;
generalization in anythng is hamful 4concluison.
 
Kuna jamaa alimtokea mdada, mdada akaanza kumaka kwa sauti......"unikome uwafuate hao hao, mimi huwezi kuniambia maneno hayo....." Jamaa kuona sooo imezidi akapandisha sauti juu........."...ahaah bwana sasa ukijamba ndio usiambiwe? wewe umekaa kwenye kadamnasi kama hivi...halafu unajamba kwa nguvu...then ukiambiwa unakuwa mkali?" dada aliona aibu ilibidi apotee...muwe wastaarabu...mtu akikusalimia sio anakutaka hivyo mwitikie salamu yake...pia mtu akikutokea....mjibu kistaarabu kwamba haiwezekani, sio unapayukapayuka tuuuu....

du safi sana nimeshapata jibu la kuwajibu wanajisikia mana wapo wengi sana hii kali kweli
 
kuna jamaa alimtokea mdada, mdada akaanza kumaka kwa sauti......"unikome uwafuate hao hao, mimi huwezi kuniambia maneno hayo....." jamaa kuona sooo imezidi akapandisha sauti juu........."...ahaah bwana sasa ukijamba ndio usiambiwe? Wewe umekaa kwenye kadamnasi kama hivi...halafu unajamba kwa nguvu...then ukiambiwa unakuwa mkali?" dada aliona aibu ilibidi apotee...muwe wastaarabu...mtu akikusalimia sio anakutaka hivyo mwitikie salamu yake...pia mtu akikutokea....mjibu kistaarabu kwamba haiwezekani, sio unapayukapayuka tuuuu....

hivi kwani mtu akikutokea ndo umjibu kashfa? Mbona mambo ya kizamani yanayofanywa na watu wasioelimika. Unamjibu mtu kistaarabu maisha yanaendelea.
 
hiyo tittle na wanaume nao nivipi ushakutana na wanaume wenye mitabio hiyo hapo juu utatamani ardhi ipasuke linaume lina gubu,dharau wacha wacha kabisa hawafai
 
Mi mke wangu ana gumbu ile mbaya.
Ukichelewa kupokea simu ananuna muda wa wiki mbili.
Na kwa makusudi atawapikieni makande kwa muda wote huo
 
Wanawake sijui tu wapoje akili zao

Nilipokua advance,,kuna demu alikuwa ana niomba omba hela kila siku,nampotezea

Wakati mwingine namuona ngoja kuepusha usumbufu namnulia soda ,coz ilikua mpaka kelo,,(kama mara 3)

Sasa kutokana na kusikia tetesi ni mgawaji nikasema ngoja nijifanye namtaka,,nikamwambia kama mara 3 anitafute nina maongezi nae,akawa anakuja nampiga chini,namwambia basi shida yangu ineisha (niligundua kweli anajirahisisha)

Kuna siku nipo duka la shule nanunua zangu soda,wakati muuzaji ananirudishia change yangu,demu akaiomba yeye anamwambia muuzaji asingenirudishia,

Demu akasema ,si hua una maongezi na mimi ? Nakuja tuongee ,nikasema poa,

Badae nikawa zangu bize,,,nikampotezea,,akanitangaza nimemtongoza amenikataa
 
hivi kwani mtu akikutokea ndo umjibu kashfa? Mbona mambo ya kizamani yanayofanywa na watu wasioelimika. Unamjibu mtu kistaarabu maisha yanaendelea.
Hilo jina tu mkuu limeniacha hoi yaani ukikosea kidogo tu

Lina mitego
 
Back
Top Bottom