Hey heey heeey,
Hello out there I hope you have enjoyed your Easter to your satisfaction.
My Easter has been fair up to now...
But deep inside. .... I missed so much deeply crazy fcukly my babu...
Habari za ijumaa kuu wana jf, hongereni kwa mapumziko kwa wale aaliopumzika,na nongereni kwa nazi kwa wale walio walio makazini.
Moja kwa moja nililete kwenu hili linalonisumbua, mimi ni kijana...
Kuna wakat natamani kuwa na mtu ila nikisema niwenae bac simalizi mwez au miez mitatu lazima niachane nae na sababu hazieleweki cna tabia ya ukorofi,najiamini kwa vingi tu napenda sana kujishusha...
PICHA: Image Of 1Love
Katika kufanya kazi ya unasihi (counselling) na wanandoa wengi wenye mitafaruku ya ndoa, nimegundua mambo kadhaa. Kwanza, vijana wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na...
Kuna house girl hapa lazima nioe kwa sababu anajua kupika, kulea watoto na pia ana heshima tofauti kabisa na haya mashakurunpepe ya mjini ambayo hayafai kabisa.
Hivyo nawashauri wanaume wenzangu...
Wasalaam wanajukwaa!
Yapata sasa nadhani mwaka na nusu niliandika hapa kuhusu misukosuko nilokutana nayo kwenye mahusiano yangu ya zamani.
Kwa kifupi, mimi nilioa ngozi nyeupe na niliishi naye...
Hapa nikitaka kukutana na G navyokuwa ni kama samaki huyu aitwae Changu (wakazi wa Dar mnajua huyu samaki wenu ) aliemla kama Breakfast leo asubuhi nakuwa kama huyu samaki Changu ,akimaliza...
Mabinti, epukeni mapenzi ya reja reja au kuishi na mtu kama mume wakati hajakuoa. Hili ni doa kubwa sana.
Kujidai mmeoana alafu ndani ya mwaka mmoja au miwili mnaanza kukimbiana ni hatari.
Mwezi...
Tumezungukwa na watu wasio na tofauti sana na Yuda aliyemsaliti Bwana Yesu. Akina Yuda wapo kila mahali. Wengine ni wafanyakazi wenzetu, marafiki zetu, waumini wenzetu, majirani tunaoishi nao na...
Hii imekaaaje!?
Yan utakuta una mu approach dem ili umset awe mpenz wako wa kweli na kuplann future pamoja..
Lakn cha ajabu mwanamke wa sasahiv akishakukubalia tu hapo hapo anageuka yatima..
Ok...
Hi
Jamani naomba kupata ufafanuzi juu ya hili eti kuna umuhimu kwa kawaida tu au kimila na desturi kuwa mtoto anapozaliwa ni lazima wazazi washiriki tendo la ndoa kama dhana ya kumzibua mtoto...
Wakuu the heading is reflecting my point
Talking from my personal experiences, nimejikuta hata kudate grls zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja imenishinda kabisa, sasa inakuaje kidume unamiliki wake...
Umewahi kusikia kauli hizi? " Mume wangu hatosheki kitandani.." "..Sidhani kufanya mapenzi ndio liwe jambo la msingi lakini huyu mwanaume kaa! Basi tu kila siku mpaka kero.."
Bila shaka ni kilio...
PICHA: Verastic
Mwanamke, kwa asili yake, anajisikia vizuri kusema matatizo yake kwa mtu wake wa karibu anayemwamini –kama, mathalani, mume wake. Ile tu kujua kuna mwanaume yuko tayari kusikia...
KANUNI 30 KWA WANAWAKE NDANI YA NDOA
1) Usinyanyue sauti mbele ya mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara ya utovu wa heshima.
2) Usifichue udhaifu wa mumeo kwa familia na marafiki zako...
Ndoto yangu nikuwa na mwanaume doctor haijatimia, natafuta mume mcha Mungu hata awe doctor au yeyote. Mimi najihusisha na mambo ya kisheria, mimi ni mchaga mrefu saizi ya kati, umri wangu ni miaka...
Matatizo mengi ya mahusiano wanayokutana nayo wanawake hua wanajitakia wenyewe alafu mwisho wa siku wanakuja kuwalaumu wanaume wote.
Mtu unakua nae kwenye mahusiano 3 good years, hupajui kwao...
Heri ya pasaka kwa wana jamii forum wote, leo ninapenda tu kuongelea vitu vichache vilivyoko kweye jamii yetu inayo tuzunguka vinavyo fanya baadhi ya watu kuendelea kuwa maskin na ufukara ulio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.