Ukininyima Mechi.... usilalamike

Ukininyima Mechi.... usilalamike

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
4,020
Reaction score
9,575
kuna haka katabia ka wanawake kunyimana mechi hasa usiku kwa visingizio kibao!

kabla ya mechi anaanza kulalamika mambo kibao mara hujanifanyia hiki, hujaninunulia hiki, mara mbona wewe kila siku tu unataka du sasa kuna siku nilimuonyesha mtu kazi

kaongea ongea kila nikmshika anatoa mkono anakuwa mkali, nikaona isiwe taabu, nikalala bila kumgusa!

asubuhi kama kawaida nikaenda zangu job, hukohuko nikampigia simu kuwa leo sitorudi naenda mkoa kikazi, si kuchanganyikiwa huko mwanamke anaanza ooh wewe hauendi kikaz utakuwa na mwanamke huko! zilipigwa simu siku nzima mpaka usiku kila wakati kuulizia hata visivyoulizika!

saa 5 nikazma cm weeeeeee asbh nakutana na meseji kulalama kuskoisha;

niliporudi heshima na adabu! hakuna kusumbuana tena
 
Mama angu mlezi hana hayo mambo yani Game tunapiga usiku kuchaaaa ataniua huyu dada, mwanamke kukupenda rahaa bana.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Ungekaaa siku kama tatu. Moja tuu ni rahisi kusahau....
 
Ndugu yangu ungelala mwezi huko ndo ungemkomesha zaidi
 
Mm hiii I kujitokeza zaid ya mara 3
Bhas kuna haja ya kuchukua tu
Maa muz magumu
 
Bora shule zifunguliwe wiki ijayo....
Hivi haka kamsemo kataachwa lini, wanafunzi wanashida mno humu jukwaani, kitu kidogo utasikia “bora shule zifunguliwe” mara “mpo likizo” haha

Wanafunzi wote popote mlipo poleni sana
 
Kama nimekuelewa vyema, huyo si mkeo?
 
Back
Top Bottom