Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Napenda kujua mtizamo wa kisheria, mila na dini. Ikiwa imethibitika mtoto si wa baba (baada ya kupima DNA) lakini alizaliwa ndani ya ndoa halali ya huyo baba. Je haki zake ni zipi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari ya humu, Jamani mbona mimi sioni kama ni jambo la kushangaza sana au la kuumiza sana nafsi kwa mwanaume kuoa mwanamke zaidi ya mmoja kama anauwezo wa kumhudumia vizuri (6x6) hata kwa...
9 Reactions
63 Replies
5K Views
Haki 'namba' moja ya mtoto wa kiume ni uhakika wa kurithi mali. Ndiyo, kwa vile yeye ndiye anapaswa na kutegemewa kuwa na hela. Watumiao husema 'mwaume gani huna hela' hawasemi dada gani huna...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutwa mnashinda kwa waganga, mmechanjwa chale hadi makalioni, yote hiyo eti mnataka kuolewa. Wengi wenu na urembo wenu mnapigwa mimba na kisha kupigwa chini, halafu mnaanza kulalamika eti mna...
13 Reactions
84 Replies
7K Views
Habar Za Mida Hii Wadau Wadau Jana Baada Ya Kutoka Kanisan Nililejea Nyumban Moja Kwa Moja Wakat Naingia Zangu Ndan Nikahisi Leo Jilan Yangu Ana Ugen Bass Wakat Ndio Nataka Kuingia Ndan Nikaita...
7 Reactions
213 Replies
27K Views
Jamani habari za humu ndani? Naamin mpo vizuri. Sasa naomba mnishauri mm ni kijana nina umri wa miaka isyopungua 30 ninampango wa mwakani kuoa kwa maana ya kufunga ndoa, tatzo langu ni dogo sana...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Za uzima,, Sikukuu kwa upande wangu haikua nzuri kabisa, mpaka sasa sielewi kama nilisherehekea pasaka au sikukuu ya wajing. Ni hivi nimesex na ndugu yangu kabisa bila mimi wala yeye kujua. Huyu...
6 Reactions
208 Replies
16K Views
Aisee natoa wito kwa TACAIDS waelewe kuwa Elimu juu ya Maambukizi ya Ukimwi bado haijawafikia Wema na Zari... hivi inakuwaje mtu anadate wanaume 9 wanaojulikana, ndani ya miaka 3 - 5, bado hapo...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za mida? Mimi ni mdada niliyewahi kutendwa na nikaumia sana sana sana hata niliwahi kuona maisha yangu hayana thamani yoyote nilishawahi kujaribu kujiua mara kadhaa lakini ilishindikana...
12 Reactions
87 Replies
7K Views
Najaribu kama muda wa BAN umeisha.
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Fresh off the boat nilikuwa Zanzibar kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya pasaka, katika harakati zangu za kutalii kwa kushangaa mji kidogo nikabahatika kukutana na mrembo mmoja aliyejitambulisha...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama unahitaji mume au mke wa kuwa nae maishani basi tafuta mwanamke au mwanaume wa kibondei. Ila angalizo. Wanajua kupenda kwa dhati na Wanajua kuchukia kwa dhati. Wakipenda, wanapenda kweli. Na...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wadau wote hasa wataalamu wa mambo ya mahisiano. Hoja yangu ni kwamba kuna haja au umuhimu wa kusalimiana na mpz au mke mliyelala pamoja wakati wa asubuhi mnapoamka??? Inaweza kuonekana...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
1. Mrembo sana wa sura na umbo halafu ni fundi sana kitandani ila, msomi ana kazi nzuri na hela za kutosha ila ni mpenda starehe, kila usiku ni night club na mnywaji pombe kwa sana, anavaa nguo...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Daah aisee wadada zetu wengine wamekubuhu.unakuta mdada ana mabwana hawajuani.mmoja mkoa mwingine anapoishi.sasa basi mmojawapo anaingia kwenye kingi (anampa ujauzito)lakini anakuwa hapendwi...
4 Reactions
49 Replies
5K Views
MMU nisaidieni mwenzenu, Nimepata mwanaume mmoja anadai amenizimikia sana, sasa changamoto anayonipa anataka nianze kuishi nae na ana haraka hatari, nimemwambia mimi nahitaji ndoa naogopa kuishi...
4 Reactions
72 Replies
7K Views
Huu ni msemo wa baadhi ya wanawake wanapokuwa faragha, mpenzi wangu mara nyingi nikienda dk 5 na zaidi huniambia hivyo, je ni kuridhika au ni kukereka... Nikimuuliza wewe tayari anasema ndiyo...
2 Reactions
121 Replies
18K Views
Hi MMU, Nina Shogangu mumewe ameoa mke wa pili lakini yule mdada ni mkorofi utadhani yeye ndio mke wa kwanza, wakati mke wa kwanza ndio alokula dhiki na yule mume sasaivi mambo safi kiasi mume...
7 Reactions
183 Replies
16K Views
Kila side chick anatamani siku moja awe main chick, tena hawa ambao uliwambia Iam married halafu wanajifanya mioyo yao imetengenezwa na maganda ya bamia, anakwambia "worry not darling mi sinaga...
49 Reactions
254 Replies
29K Views
Girls wengi wanafunguaga thread humu wakilalamika kusumbuliwa na wanaume lakini hawawataki ila wanalazimishwa tu mapenzi Mwanaume ukijiona humtaki na bado anakung'ang'ania we usihangaike nae...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom