Haki 'namba' moja ya mtoto wa kiume ni uhakika wa kurithi mali. Ndiyo, kwa vile yeye ndiye anapaswa na kutegemewa kuwa na hela. Watumiao husema 'mwaume gani huna hela' hawasemi dada gani huna fedha!
Kabla ya kuzaa mtoto wa kiume uhakikishe una mali ya kumrithisha!! Vinginevyo endelea kuzaa wa kike tu. Angalia familia za kihindi wanarithishana mali kizazi hadi kizazi. Nidhamu katika matumizi ni muhimu sana ili Ku keep hiyo "dynasty"