Mapenzi ni matamu ila yakizidi mwishowe huwa kifo

goldie ink

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
5,636
9,132
Fresh off the boat nilikuwa Zanzibar kwa ajili ya kusherekea sikukuu ya pasaka, katika harakati zangu za kutalii kwa kushangaa mji kidogo nikabahatika kukutana na mrembo mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Ashraqat ni mkazi wa mji wa menia, ambaye ni mjasiriamali tulitokea kuzoeana kwa muda mfupi kwa kupeana mawazo na stori zenye ucheshi ni muda mchache tu tulikuwa marafiki, kwa upande wa Ashraqat alijaribu kugusia stori za mahusiano lakini nikawa wazi kuzungumzia masuala hayo, kwa mazingira yale mapema nilitambua ya kwamba amenitamani kimapenzi hivyo sikutaka kupoteza muda nikawa namchokoza chokoza kimtindo na baadaye nikafanikiwa kumtongoza bila hiyana akakubali ingawa alinisisitiza kuwa tuwe makini maana tayari anaye mchumba wake ingawa yupo mbali naye, tulianza kuishi maisha ya wapenzi hasa kama unavyojua penzi jipya nilinavyokuwa changamfu na bashasha za kila aina, Jana mchana akanitumia ujumbe mfupi kupitia simu yangu ya mkononi, " habari Goldie, Leo nahitaji nikupatie zawadi nzuri pasaka hii " sikuwa mbishi bali nilikuwa mdadisi nikataka kujua ni zawadi gani nzuri nitapewa akaniambia niwe na subira.

Majira ya saa 4:30 usiku nikapigiwa simu na Ashraqat kuwa nifikie maeneo ya kendwa nikafika japo kwa kuchelewa cha ajabu nikaelekezwa madhari ya gesti nikahamaki kidogo nikijiuliza maswali mengi nikabidi nifanye hivyo, nikaingia hadi gesti moja kwa moja baada ya maelekezo, nilikuta madhari ya chumba ni safi, kina harufu nzuri ya manukato, na mtoto Ashraqat nikamkuta akiwa katika mavazi ya kuvutia na kuruhusu shetani akupe maelekezo jinsi ya kufanya dhambi ya aina gani, nilipagawa nikataka kufanya papara lakini akaniambia niwe na subira, nikapewa boksi iliyofungwa vyema nikafungua nikakuta mshumaa mwembamba mrefu ila wenye rangi ya njano, pembeni kulikuwepo na kiberiti, nikashindwa kuelewa ni kitu gani mwanzo nianza kuhisi ni uchawi unafanyika lakini nikajipa matumaini ngoja nione mwisho wake, bila muda kwenda nikaanza kufanyiwa " massage " nilihisi raha za ajabu baadaye mtoto Ashraqat akawasha mshumaa na kuweka juu ya meza halafu akavaa cheni 4 kiunoni akachukua mafuta yenye harufu nzuri akajipa mwilini baada ya hapo akarejea kitandani akaning'oneneza masikioni " Hunnie mshumaa utakapoisha nami nitakuwa nimeridhika " nikatabasamu kwa dharau na kwa kujiamini kwamba nitampa shoo kali, hatimaye muda siyo mrefu tukaanza "kufanya tabia mbaya " nikapiga shoo hadi saa 8 usiku bado mshumaa haujaisha na mimi nipo hoi huyu demu anakwambia bado sijaridhika mpaka mshumaa uishe kichwani mwangu taa ya hatari ikawaka kuwa niwe makini naweza kufa kwa kujiover dose kwa shingo upande nikajipa moyo nikaendelea kutoa shoo kali kama saa 1 nikawa hoi tena safari hii niko hoi kweli kweli nimechakaa sitamaniki, lakini huyu mzanzibari bado anadai tuendelee na shoo mpaka mshumaa uishe kabisa nikaona haya ni mateso nikamwambia napumzika nimechoka sana, mtoto hataki nikasema isiwe kesi nikajikaza nikaanza shoo upya mpaka majira ya saa 11 alfajiri mshumaa ukawa umeisha nimechakaa sifai tena kwa uchovu wa shoo ile Kali, sikumtamani tena yule Ashraqat nilimuona kama muuaji na mtu ambaye mkatili nilitamani kumuuliza kuwa hii ndiyo zawadi ambayo uliniahidi kunipa lakini sikuweza hata kufungua kinywa changu kwa uchovu mkubwa niliokuwa nao, kwa upande wa huyu demu alikuwa anafuraha na kuniambia maneno matamu matamu ya kunisifia lakini nilishindwa kumjibu mpaka sina hamu na wanawake wa kinzanzibari, mapenzi ni matamu ila yakizidi mwishowe huwa kifo.......
 
Shida ni kutojua dirisha la fahamu katika mwili wa mwanamke (TEA GO), next tym utajiongeza bro. Wanaume wa mikoani mpaka huwa tuna BET, umeme ukikatika basi shoo mwisho. Demu anakuwa amesahau kwamba kinyerezi two imefunguliwa. Kama ulishindwa kabisa, basi ungeupuliza tu mshumaa ulale
 
Shida ni kutojua dirisha la fahamu katika mwili wa mwanamke (TEA GO), next tym utajiongeza bro. Wanaume wa mikoani mpaka huwa tuna BET, umeme ukikatika basi shoo mwisho. Demu anakuwa amesahau kwamba kinyerezi two imefunguliwa. Kama ulishindwa kabisa, basi ungeupuliza tu mshumaa ulale
 
Hapa watajitokeza wajuzi wa masafa marefu na kuponda kama kweli anyway vipi **** yake ilikuwa na utelezezi ule natural au uliongeza kirainishi?
 
Back
Top Bottom