Ciprofloxacin.
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 1,583
- 2,702
Kutwa mnashinda kwa waganga, mmechanjwa chale hadi makalioni, yote hiyo eti mnataka kuolewa.
Wengi wenu na urembo wenu mnapigwa mimba na kisha kupigwa chini, halafu mnaanza kulalamika eti mna mikosi, hakuna cha mkosi wala nini mko fiti sana.
Tatizo mmekuwa wengi hadi kero, halafu mbaya sana mnashindana kukuza makalio na kukoboa ma uso yenu, yote hii mpate waume, mnaharibu hadi urembo wenu wa asili uliotukuka ambao Mungu amewapa.
Mbaya zaidi hadi papuchi mnaziwekea vionjo eti ili zibane muonekane ni mnato, yote hii ili mpate waume.
Mimi leo nawaeleza ukweli kabisa, maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu, wanaume sasa hivi wapo bize kutafuta pesa, halafu wakipata hamu ya mapenzi wanaenda kununua tu, kwa sababu nyie wenyewe ndo mmefanya hadhi yenu ipungue sana kwa kujiuza.
Laiti kama mngekuwa baadhi yenu hamjiuzi, hakyanani walahi mngekuwa na thamani kuliko pesa na dhahabu.
Tatizo mmekinukisha wenyewe, kwanini ujiuze? Umekuwa samaki wewe? Binadamu ana hadhi yake bana.
Unakuta mwanamke ukimsemesha tu, tayari anakuuliza "utanipa sh ngapi tutoke wote?" Ndo maana wanaume wengi wanawachukilia wanawake wengi ni malaya wakati si kweli.
Sasa ndo hivyo hatutaki kuoa ndo maana mnafikisha hadi miaka 35 bila ndoa na kingine punguzeni dharau mkitongozwa muwe mnawahi kukubali siyo kujishebedua wakati mnaolilia ndoa mko wengi.
Kama hamjaridhika na hali iliyopo andamaneni.