Kama unahitaji mume au mke wa kuwa nae maishani basi tafuta mwanamke au mwanaume wa kibondei. Ila angalizo. Wanajua kupenda kwa dhati na Wanajua kuchukia kwa dhati. Wakipenda, wanapenda kweli. Na wakichukia, wanachukia kweli. Don't try to play with their feelings or emotions! Be careful. [emoji15]