Hakuna mapenzi hapoNimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini
Ila Donaldson don nilishatolewa barua sasa sijui nifanyeje
Kaa naye chini umueleze huenda kuna jamboAsante
HeeeIla Donaldson don nilishatolewa barua sasa sijui nifanyeje
Uyo mwanaume Bak
Ndio kanitolea mwenyewe barua
AahNdio kanitolea mwenyewe barua
Ila akiongea kwenye simu anawaambia nipo na wife amefika kunitembelea na ananipa simu pia niongee nao shida kuna siku mmama akamuuliza huyo ndo mke wako akatabasamu tu hakujibu chochote
Lady whats your problem!? Sioni tatizo hapo.Ila akiongea kwenye simu anawaambia nipo na wife amefika kunitembelea na ananipa simu pia niongee nao shida kuna siku mmama akamuuliza huyo ndo mke wako akatabasamu tu hakujibu chochote
Ikiwa hajafunga ndoa bado hawezi kusema wewe ni mke wake. Hio kutabasamu inaitwa(jibu unalo) subiri mfunge ndoa ndio atasema huyu mke wangu. Kwani wewe ukiulizwa nani huyo unasema mumeo?Nimezaanae na bado nipo kwenye mahusiano nae hatuishi pamoja alifika kunichukua niende kwake kipindi nipo likizo lakini kule kwake akiulizwa huyo ni mke wako anakaa kimya hajibu anaweza akatabasam tu sijui shida nini