Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu, kisa alimletea mayai na kushindwa kuyalipa na ikabidi mke amlipe kwa staili ile, sasa kilichotokea ni jamaa mwenye mke alipofika ikabidi mwizi ajifungie kabatini,
Jamaa akasikiakabati linagongwa gongwa ndipo kulifungua akamkuta
Jamaa akasikiakabati linagongwa gongwa ndipo kulifungua akamkuta