Wanawake wa miaka hii mnaboa hamna aibu mkitongozwa

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Raha ya kutongoza mwanamke aone aibu kama ikitokea mmesimama achume majani, akate miti namna hiyo.

Sisi wanaume tunapenda sana sio nakutongoza umekaza sura hapana. Enzi zile tuko vijana ilikuwa raha kabisa unaongea na binti zaidi ya saa hakuangalii usoni.

Nyie wa miaka hii vipi?
 
Kwani kaka wewe hujawahi kutongozwa na mwanamke?. mi nimeshawahi kilichofuata ni mimi kuona aibu badala ya yeye..
HITIMISHO
Dunia kwa sasa imepata mapinduzi ya tabia. usishangae wakaanza kutuandikia barua za uchumba maana madanguro hakuna teyna.
 
Sijawahi kutongozwa kwa kweli
 
Una umri gani kwanza, sasa hivi hatutongozani tukiwa tumesimama, unakutana na binti unaomba namba ya simu unamwalika dinner unatongoza, sometimes unatongoza kwenye simu.
Sasa hivi ukikutana na binti ukaanza kutongoza anakushangaa.
 
Raha ya kutongoza mwanamke aone aibu km ikitokea mmesimama achume majani..akate miti namna hiyo...
Sisi wanaume tunapenda sana sio nakutongoza umekaza sura hapana aise...
Enzi zile tuko vijana ilikuwa raha kabisa unaongea na binti zaidi ya SAA akuangalii usoni
Nyie wa miaka hii VP?
usipende ku-generalize mambo
 
Una umri gani kwanza, sasa hivi hatutongozani tukiwa tumesimama, unakutana na binti unaomba namba ya simu unamwalika dinner unatongoza, sometimes unatongoza kwenye simu.
Sasa hivi ukikutana na binti ukaanza kutongoza anakushangaa.
Vijana wa siku hizi mmekosa uhondo
 
Raha ya kutongoza mwanamke aone aibu km ikitokea mmesimama achume majani..akate miti namna hiyo...
Sisi wanaume tunapenda sana sio nakutongoza umekaza sura hapana aise...
Enzi zile tuko vijana ilikuwa raha kabisa unaongea na binti zaidi ya SAA akuangalii usoni
Nyie wa miaka hii VP?
Wewe umeshazeeka hebu tulia ule pension yako vzr maana ukitaka kulia utalia sana...acha tamaa papuchi ulizokula ukiwa kijana zinatosha.
 
Raha ya kutongoza mwanamke aone aibu km ikitokea mmesimama achume majani..akate miti namna hiyo...
Sisi wanaume tunapenda sana sio nakutongoza umekaza sura hapana aise...
Enzi zile tuko vijana ilikuwa raha kabisa unaongea na binti zaidi ya SAA akuangalii usoni
Nyie wa miaka hii VP?
Aisee mnakuwa kama mko sokoni mnapata bei ya nazi
 
namna ya kujifunza kwa mwanaume;-
hatua,
1. fungua account ya facebook kwa jina la kike mf, MWAJUMA JUMBE
2. tafuta sura ya binti mzuri hapo mtaani kwenu kisha mueleze tu kuwa umemfungulia account fb ni vyema awe dada ako
3. kuwa unampiga picha na kuzipost kwenye ile fake account
4. anza kutafuta marafiki na kuwa omba ulafiki.
MPAKA UKIFIKIA HATUA HII UNAKALIBIA KUWA FUNDI WA KUTONGOZA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom