Wanandoa wanaoishi pamoja au mbali mbali, ndoa ipi inadumu?

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,221
28,666
Habari wandugu?

Samahani, hili swali ni ruksa kwa wote.Aliye ndan ya ndoa na ambae bado hajaingia.

Ni hivi hivi mapenzi au ndoa ya kuishi mbali na kuishi pamoja kila siku mkiwa mnaonana kipi bora kwa kuifanya ndoa idumu au kuimarika?

Nimeuliza hivo coz mi nipo Iringa mwenzangu Mwanza. Sasa nataka niwe kwenye maamuzi sahihi coz always ningejibu la kuchelewa. Japo kama mimi naona yote kheri ilimradi pendo linasonga.

Ushauri unaambatana na mengi so ruksa kuongea lolote.
 
Habari wandugu?

samahani,hili swali ni ruksa kwa wote.. aliyendan ya ndoa na ambae bado hajaingia.
Ni hiv,ivi mapenz au ndoa ya kuishi mbali na kuishi pamoja kila siku mkawa mnaonana kipi bora kwa kuifanya ndoa idumu au kuimarika?
Nimeuliza ivo coz mi nipo iringa mwenzangu mwanza.Sa nataka niwe kwenye maamuz sahihi coz always Ninge ni jibu la kuchelewa.Japo mi kama Mimi naona yote kheri ilimradi pendo linasonga.

Ushauri unaambatana na mengi ko ruksa kuongea lolote
TY Mapenzi ya karibu ndio mazuri... Ya mbali yana changamoto nyingi tu aisee
 
Habari wandugu?

samahani,hili swali ni ruksa kwa wote.. aliyendan ya ndoa na ambae bado hajaingia.
Ni hiv,ivi mapenz au ndoa ya kuishi mbali na kuishi pamoja kila siku mkawa mnaonana kipi bora kwa kuifanya ndoa idumu au kuimarika?
Nimeuliza ivo coz mi nipo iringa mwenzangu mwanza.Sa nataka niwe kwenye maamuz sahihi coz always Ninge ni jibu la kuchelewa.Japo mi kama Mimi naona yote kheri ilimradi pendo linasonga.

Ushauri unaambatana na mengi ko ruksa kuongea lolote
Adamu alikosea kitu kimoja kumwacha Eva peke yake na mwisho shetan akajipenyeza ,,lkn km angekua naye pamoja nyakati zote ,, Shetani asingeingia.

KOSA KUBWA WANAOLIFANYA WANAUME NIPALE WANAPOANA ALAFU KILA MTU ANAKAA MKOA WAKE ,, I ASSURE YOU SISTER SHETANI LAZIMA AINGIE KAMA NIMUME LAZIMA AWE NADEM MWINGINE NAKAMA NI MKE LAZIMA ATAKUA NA MSHIKAJI TUUU ,,YAAAN NILAZIMA .

kwa maelezo zaidi ,,tafuta Uzi Wangu mmoja niliupa heading hii "*" Wanaume hakikisheni hili kosa LA ADAM hamlifanyi !*
 
Adamu alikosea kitu kimoja kumwacha Eva peke yake na mwisho shetan akajipenyeza ,,lkn km angekua naye pamoja nyakati zote ,, Shetani asingeingia.

KOSA KUBWA WANAOLIFANYA WANAUME NIPALE WANAPOANA ALAFU KILA MTU ANAKAA MKOA WAKE ,, I ASSURE YOU SISTER SHETANI LAZIMA AINGIE KAMA NIMUME LAZIMA AWE NADEM MWINGINE NAKAMA NI MKE LAZIMA ATAKUA NA MSHIKAJI TUUU ,,YAAAN NILAZIMA .

kwa maelezo zaidi ,,tafuta Uzi Wangu mmoja niliupa heading hii "*" Wanaume msifanye kosa hili!!!*
Ni kweli kabisa mkuu,sante
 
Unapenda nini sema ili nami nifurahie, umejishindia coca ya bure kwa jibu murua
 
Back
Top Bottom