Natafuta mchumba aliyeokoka

nnill

Member
Jun 23, 2016
5
5
Mimi ni msichana wa miaka 27, mwajiriwa selikalini naishi Mbeya. Elimu yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamini mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami nahitaji mwanaume aliyeokoka. Umri kuanzia Miaka 28 elimu kuanzia form four kabila lolote. Awe nakKazi halal ya kumuingizia kipato.

Karibu pm.
 
Muombe mungu akusaidie kumtambua aliyejifanya kuokoka ili kutimiza leongo lake
 
Mimi ni msichana wa miaka 27.mwajiriwa selikalin naishi mbeya. Elim yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamin mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami nahitaj mwanaume aliyeokoka. Umri kuanzia Miaka 28 elimu kuanzia form four kabila lolote. Awe na Kaz halal ya kumuingizia kipato. Karib pm.
Nami nilikua natafuta mke mwenye sifa kama zako ila umri wangu ni mdogo
 
Tulia dadaangu Muombe Mungu akupe Mme mwema maana MTU anaweza kukulaghai kuwa ameokoka kumbe sio kweli

Kumpata Mme kutoka kwa Mungu kunahitajika ghalama kidogo

A, funga na kuomba masaa 24 angalau ukimuomba Mungu akufunulie

B, jitahidi kuwa karibu Sana na Biblia kujisomea Neno LA Mungu
Ndipo Mungu atafungua milango ya uchumba.
 
Mume mwema atakuja tu sio kumtafuta jf
Acha kumdanganya dada wa watu. ameshaomwomba Mungu sasa ni kuwasaka popote ili maombi yake yafanye kazi. Unataka mchumba amfuate geto? Kaza buti dada ila ungetangaza 'Mkristo' badala ya mlokole. Kuna Wakristo hawajaokoka lakini wanaelewa kuishi na mke kuliko waliookoka.
 
  • Thanks
Reactions: EHK
Mimi ni msichana wa miaka 27.mwajiriwa selikalin naishi mbeya. Elim yangu ni shahada ya kwanza. Nimeokoka. Mimi naamin mume au mke mwema anatoka kwa bwana but unaweza kukutana nae popote. Nami nahitaj mwanaume aliyeokoka. Umri kuanzia Miaka 28 elimu kuanzia form four kabila lolote. Awe na Kaz halal ya kumuingizia kipato. Karib pm.

Umeokoka how?
 
Hata mm natafuta mke pia ni mwajiliwa kama utakuwa haujapata nitafute tuwasiliane kwa ss nipo mbeya kikazi 0745645518
 
Kuokoka sikigezo omba mungu akujalie Mme mwema anaemjua mungu hata aspokua mlokole lamhimu awe mkiristo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom