Mpenzi wangu ana wivu sana, ana gubu sana yani jambo dogo lazima aongee.
Wakati mwingine anahisihisi tu mambo nilishangaa aliponiuliza huyo malaya wako ni mzuri kuliko mimi? Au anajua kufanya...
Ila kuna vitu vipo natural sana, yaani unakuta kitoto cha kike kina miaka 10 lakini unakuta kishajua ni sehemu ipi ya mwili wake ambayo huweza kumpa mihangaiko ya mwili mwanaume atakapoiona.
Sasa...
astaghafilulahi... mambo mengine ndugu yangu tema tu mate chini.... hii dunia kweli tambala bovu.. halifai hata kwa deki wala kufutia miguu. nilikuwa bar flan mitaa ya jijini dar es salaam...
Ama kweli akina mama wengi ni wamama wa nyumbani hawana shughuli rasmi za kuingiza kipato na hii ni kielelezo tosha cha kwanini watanzania ni masikini mno na kwa upande mwingine inaelezea kitu kwa...
Wadau mko poa?
Kuna jirani yangu kutoka makao makuu ya nchi juzi kamfumania mkewe na mchepuko kachukua kisu kamchoma jamaa aliyekuwa anamfaidi mkewe naye akajichoma kisu, baada ya mkewe kupiga...
Nimetaka ku embed hii simulizi hapa sikufanikiwa,
Kama ni Mpenzi Bofya link hii https://soundcloud.com/mvumbagum/mke-wangu-mimba-ya-baba
kusikiliza simulizi kali inayoitwa 'Mke wangu Mimba ya...
Ama kwa hakika ukiyastaajabu ya Mussa utaona ya firauni. Wakati RC wa Dsm akipambana kuwasaidia wanawake waliotelekezwa na watoto huko India mambo ni tofauti. Kwa mujibu wa utamaduni wa huko...
Habari za leo wana JF.
Mimi ni kijana wa kiume rijali kabisa mwenye umri wa miaka 36. Nina elimu nzuri, mcha Mungu, nimeajiriwa, na nina ndoto za maisha vile vile. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo...
-awe ameokoka
-popote pale Tanzania,
-sijali dhehebu cha msingi iwe ya wokovu.
-elimu kuanzia form 6 hadi masters.
-awe ameajiriwa au hajaariwa its OK
-watoto wa wachungaji watapewa kipaombele...
Jamani, raha ya ndoa sio kugegedana na kupeana maromance
Kuoga kwa pamoja pia ni raha sana jamani
Nendeni mkaoge kwa pamoja bana muepushe mambo mengine ya kutiana aibu kama kuchunguzana sms...
Moyo ukikosa baba, huachi kutangatanga!
Siyo pishi ni kibaba, moyo hugeuka janga,
Hakuna nyingine tiba, ya moyo unaotanga,
Moyo ukikosa baba, ni moyo uso na huba!
Moyo ukikosa baba, huwa na...
Hili hili tangazo ukilisikia huwa unafikiria kama navyofikiria mimi
Huyo john hatoi pasi anapiga vyenga tu
Huyo mtangazaji sasa ana sauti nzuri angekua anatangaza mpira ningeacha kuuangalia...
Usagaji (lesbianism) ni tabia ya wasichana/wanawake kujiridhisha kimapenzi wenyewe pasi kuhitaji kuridhishwa na mwanaume. Wasichana hawa hutumia vidole, ulimi na hata sex toys (dildo) kama zana...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Natafuta mume;
1. Awe mkristu
2. Awe ana degree na kuendelea
3. Awe mwajiriwa au amejiajiri
4. Umri kuanzia 33 yrs na kuendelea
Kwa upande wangu, mimi ni...
Wakuu wanajamvi habari zenu?
Bila kupoteza muda na ukizingatia mmetoka katika msimu wa Pasaka basi nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja katika mada,
Mimi ni kijana(Me) amabae sijao bado...