Uhusiano wa utanashati na roho mbaya

Uhusiano wa utanashati na roho mbaya

Northpal

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
335
Reaction score
298
Je kunauhusiano Kati ya USAFI ule wa kupitiliza na Roho mbaya ama ubinafsi. Binafsi naona watu wengi wasafi kupita kiasi hawashirikiani vizur na watu wengine....
(simaanishi usafi wa kawaida wa kuondoa vumbi jasho harufu tu ila ulee wakutokomeza hadi Bakteria Sugu)
Napenda kusikia mawazo ya wengine...
 
Ngoja waje wahusika utakipata unachokitafuta mkuu
 
Sasa ushasema msafi wa kupitiliza, unategemea atachangamana na watu wenye usafi wa wastani?
Sio kwamba ana roho mbaya, hivyo ndivyo alivyo, kila kitu chake anataka kiwe katika kiwango cha usafi wa aina hiyo.
Chini ya hapo utasema anajidai.
 
Je kunauhusiano Kati ya USAFI ule wa kupitiliza na Roho mbaya ama ubinafsi. Binafsi naona watu wengi wasafi kupita kiasi hawashirikiani vizur na watu wengine....
(simaanishi usafi wa kawaida wa kuondoa vumbi jasho harufu tu ila ulee wakutokomeza hadi Bakteria Sugu)
Napenda kusikia mawazo ya wengine...
Yap! Ndivyo tulivyo......
 
'Usafi kupita kiasi' ndio ukoje?
Ule unaokufanya ukose Amani hadi kwambambo Winzio wanachukulia Poa mfano kwenye daladala unasita kujishikilia kwa kumtilia aliyetangulia, kikombe cha chai unanywea pale unapodhani wengi hawanywei... kukataa kuvaa helmet kwa bodaboda hadi unaamua kujihatarisha...
Ule ambao mkeni akitoka unaanza kupiga deki tena... Kama huo yani
 
Daaah nimekuelewa Mkubwa

Hiyo ya kukataa kunywea Kikombe eneo ambalo wengi nahisi wanatumia nilikuwa nayo enzi zile za kunywa chai Vibanda umiza kwenye vikombe vya plastic
 
Huyo msafi wa kupitiliza naishi nae. Maana sipendaji kufanyiwa kitu, nikifanyiwa nahisi nirudie. Na Mara nyingi MTU msafi lazima aone kero kwa watu,
Napendaga watu wasafi sana.
 
Ule unaokufanya ukose Amani hadi kwambambo Winzio wanachukulia Poa mfano kwenye daladala unasita kujishikilia kwa kumtilia aliyetangulia, kikombe cha chai unanywea pale unapodhani wengi hawanywei... kukataa kuvaa helmet kwa bodaboda hadi unaamua kujihatarisha...
Ule ambao mkeni akitoka unaanza kupiga deki tena... Kama huo yani
Self maintenance hiyo mkuu sioni ubaya hapo.
 
Huyo msafi wa kupitiliza naishi nae. Maana sipendaji kufanyiwa kitu, nikifanyiwa nahisi nirudie. Na Mara nyingi MTU msafi lazima aone kero kwa watu,
Napendaga watu wasafi sana.
Dah basi hapo mimi utanipata kilahis kabisa
 
Kuuumbeee ndo maana wananionaa hiiiviii,honestly hata madem mwenyew nikiwatongozaga nashangaa "mh umenipenda kweli?" Kumbe huwa wanajishtukia! Aiseee honestly wakati mwingne najali ngunga kwanza dear madem.
 
Je kunauhusiano Kati ya USAFI ule wa kupitiliza na Roho mbaya ama ubinafsi. Binafsi naona watu wengi wasafi kupita kiasi hawashirikiani vizur na watu wengine....
(simaanishi usafi wa kawaida wa kuondoa vumbi jasho harufu tu ila ulee wakutokomeza hadi Bakteria Sugu)
Napenda kusikia mawazo ya wengine...
Nakubaliana na ww Mkuu,
Hii mimi nishafanya utafiti, weng wanajipenda wao sana na kujiweka hivyo na wanahisi kama.wao wanatakiwa waishi kama wafalme/malkia..
Wabahili, wabinafsi, wachoyo, hela yao wanabana wanunulie.nguo na.vitu.vya kwao tu.
Shame to them
 
Back
Top Bottom