Mahaba ....... Nipondeponde Kama Nyanya.....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Habari za weekend na usiku huu,

Leo nimeshinda vizuri sana na jioni yangu imeisha vyema. Mida ya mchana nikawa nawasiliana na mahalat wangu, basi nikawa namlalamikia vile namkosa na kazi huku nilipo zimepamba moto. Nikiwa nazungumza nae nikapandwa na ashiki... bila kuuma maneno nikamwambia mahalat, Kasie wako nina nyege hatarii yaani sijui hata nifanyaje. Akaniambia sentensi hiyo hadi nikasikia jinsi kunavonyemvuka...."unataka nije niku......??" ashiki ikaongezeka hata machozi yakaanza kunilenga lenga nikajikaza nikakausha macho kama niko poa kumbee rojorojo.

Baada ya muda na hali kutulia nikawambia mahalat sikiliza huu wimbo wa Maua Sama - Mahaba Niue.... am singing for you. Lets sing together Mahalat wa Kasie.

When i close my eyes i see your face uzuri wako i cant compare
Mapenzi ya kweli we ndo unanipa we sijaona kama we kote nilikopita mie

The love that you give me is taking me far away
Nachotaka ni kuwa na we milele
Mahaba Niue nipondeponde kama nyanya mpaka nikose cha kufanya

Ohh baby why oh why sijakuona mapema oh baby why oh why oh why oh why

Every minute every hour uko kichwani kwangu nakuwaza tu
Mambo yangu yaenda sawa uko pembeni yangu naona raha tu
Mpenz wangu niambie kipi unachotaka sema nikutimizie so baby come closer nataka nikuambieee aaah

Kwako mi niteke nyara kwako nimefika na siwezi bwaga manyanga
So baby love love love love me and you know me loving loving loving you too

So baby come closer nataka nikuambieee eeeh eeeh
Upon my mama i swear that i'm not gonna stop loving you baby loving you baby

I

Thanks for the voice

Crazy Kasie.
 
Twaweza oyeee.
Kati ya watanzania wanne, mmoja anakitanda mirembe
 
Taratibu Kasiba. Wasije wakatustukia....
 
Kama mama Winnie Mandela aliwagawia bumunda lake hadi vijana wadogo kisa nyege zimemshika hadi kwenye kamemere..najua nyege hazina mwenyewe mama kassie. So do what you gotta do.

Nyege ni mbaya sanaa unaweza kuandika hapa then baadae ndio akili zinakurudia.
 
Hahahahahahahahaaa wuuhuuuuuuu

Siisiikiii..... la mnadi swala wala la muazini. .....

Mahalat kwako tuu wengine sioniiiiiii.

Poleni mabibi na mabwana kwa kupatwa na wivu juu ya Mahalat wa Kasie.

Siisiikiii......

Kasie Mahaba.
 
Twaweza oyeee.
Kati ya watanzania wanne, mmoja anakitanda mirembe

Kama kawa kama dawa..... hata siku moja nyani hajawahi ona kundulee hehehehehheee

Mahaba niue.....

Kasie Mahaba.
 
Kama mama Winnie Mandela aliwagawia bumunda lake hadi vijana wadogo kisa nyege zimemshika hadi kwenye kamemere..najua nyege hazina mwenyewe mama kassie. So do what you gotta do.

Nyege ni mbaya sanaa unaweza kuandika hapa then baadae ndio akili zinakurudia.

Oooh oukey, noted.

Kasie Mahaba.

Kasie Matata.
 
Hhahahahahaa hii sio story ni uhalisia, hakuna muendelezo ndo kilichonitokea hicho nilichosimulia.
aaarrggghhh yn kule insta hawajatupa part two yao....na ww huku unatubania.....[emoji21][emoji21][emoji21]
 
Hheheheheee imekuwa insta tena....

Hata sijajua ni nini hicho unaulizia kuhusu part two.
 
baada ya kutulia....ukamsikilizisha huo wimbo.....akaskiliza..umeishia hapo tu....what next ...hata hakusema "" baby thanks for the beutiful song..nimeupenda huo wimbo"" na vitu zingine kaa hzo??? yn simulizi ipo incomplete.
 
Yaani huyu habibi wa Kasie mahaba yake ni ya aina yake. Nilitumiwa ujumbe wa sauti yenye mahaba na cheko lenye voko ya kurendemsha urojo wa mlenda..... basi nikabaki natabasamu tabasamu la Kasie.....

He is unique when it comes to Kasie and I adores him million times and he knows that.

Basi acha niishie hapa nsije nikaharibu buree.

Kasie Mahaba.
 
Back
Top Bottom