Kuziwa
JF-Expert Member
- May 23, 2011
- 248
- 214
Habari! Hili ni maswali kwa wanandoa,
1. je mkeo/mumeo anatakiwa kurudi muda gani nyumbani, hasa akiwa hana kazi, hii namaanisha anapotoka kufanya au kushiriki shughuli za kijamii kama harusi,misiba n.k
2.Je ni sahihi kwa mkeo/mumeo kuondoka kwenda harusini/msibani kuanzia asubuhi mpaka usiku?
3.je ni sahihi kwa mume kupikiwa/kufuliwa na binti wa kazi vyakula vyote vya siku, kuanzia chai mpaka dinner kwa sababu mke yupo bize na harusi?
4.je ni sahihi kumkataza mke kurudi nyumban usiku let say saa 2 usiku? Kama hakua na sababu za msingi kuwepo kwenye sherehe/msiba n.k? Maana yake ayaache anayofanya ili awahi nyumban kwake?
6.je ni sahihi kwa wanandoa kupanga muda wa kurudi nyumbani? Mfano mwisho wa kurud nyumba saa moja! Hii ni sahihi au ni ubabe? Mfumo dume?
7.je ni sahihi kukubaliana kua kama kuna ulazima wa kurudi usiku basi mke aambatane na mume? Hii ni sahihi au ni wivu?
8.je kuna haja ya mke kushiriki kila tukio la kijamii mfano harusi mtaani/misiba kuanzia mwanzo mpaka mwisho? Hii ni sawa au ndio kuonekana unajitenga kwenye jamii?
Haya ni baadhi ya matukio yanayotoke kwenye ndoa nyingi! Wanandoa naomba tujadili na kutoa majibu saidizi kwenye ndoa zetu! Karibuni