ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,388
habari za jumapili all MMU
moja kwa moja tuangalie tabia za wanawake baadhi wanaokuwa wameanza kuzipata hela kwa mara ya kwanza.
1)urembo: akipata hela siku ya kwanza iwe kwa boyfrnd au kapata mshahara wa kwanza cha kwanza ataanza na kununua mawigi 3± yawe ya kubadili mitoko, hapa cream ndipo inapotambuliwa, nguo za gharama huku anasahau kama hivo vinampoteza na kumfanya aendelee kuwa kwa wazazi.
2)ibadq: hapa ni mahodari wa kuhudhuria ibada napo sio kwa moyo wa kumpenda Allah/MUNGU hapana. hapa huuduria ili waonekane umaridadi wao wengi huenda ili waonekane apearance hasa mavazi.
3)kukana mahali anapoishi: hapa atakwambia anakaa mbezi beach kumbe ni vituka au dovya.
4)kuigiza maisha: hapa atajifanya yeye ni wa mayai kumbe nyumbani wanagombania ugali wa mtama. ukimtoa out atataja kuku mayai ili kujionesha kwa aliye mtoa.
5)kuongea kiswaenglish ili aonekane amepitia international school kumbe ni zile za uchochoroni.
6)akipata mwanaume hakumbuki kumpa mbinu za kutoka kimaisha kama kujenga nyumba n.k muda mwingi nikutaka waishi kama bado wanatongozana.
7)wachoyo: hapa mzazi anaweza akawa anaumwa mpaka anakufa wala hatoi sent yake mfukoni kwaajili ya shida za nyumbani.
8)usaliti ndio huanza tena wa waziwazi. usiombe apate gari kama mumewe hana gari ujue ataanza kuwatafuta wenye magari ya gharama kuliko lake atajigongagonga ili apendewe atanyenyekea wenye uwezo mkubwa kwake na yupo radhi adate nao bure.
9)hawawazii maendeleo ya rasilimali vitu zaidi ya kujipamba. akishajua hom kupo basi yatosha.muda wote anajua ye ndie anapaswa abebe mizigo yake ahamie kwa mwanaume hivo mwanaume ndie mwenye jukumu la kujenga n.k
9)-----
10)------
karibuni wanaume mshuke na nyie muelezee tabia mnazokutana nazo huko pindi mkiwapata wenza wanapokuwa wachafu hata jero hawalijui kiganjani mwao au ndio amepata kazi.