msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
huyu dada ni mlimbwende kweli kwelikweli jamaa yake ni mchaga yupo na maduka ya jumla,dada mweupe,mrefu kidogo,amefungashia kimzigo flan cha kichokozi,yuko smart sana,katika stori za hapa na pale baada ya kuzoeana siku moja wakati tunaongea ananiambia jamaa hajamgusa kama mwaka na unusu hivi,kila akijaribu kumtengenezea mazingira jamaa hataki!nimejiuliza hili swali je nikimsaidia jamaa kuna shida jamani??