Wanaume ndio wengi duniani na sio wanawake kama tulivyoaminishwa miaka yote

Kheri Hansen

JF-Expert Member
Jan 20, 2018
1,027
1,234
Utakuta mwanaume anasotea demu, hadi aje ampate ni mwezi. Au wengine wanakosa papuchi kabisa hata miezi 3-6, labda akanunue. Lakini mwanamke utakuta ana wanaume wengi hadi 10; mme, michepuko, aliosoma nao, kazini, etc na wote ana wapanga, na wote anawahudumia kwa zamu. Tuongee ukweli.

Tafsri yangu ni kwamba, wanaume ni wengi kuliko wanawake hivyo mwanamke kuwa na wanaume wengi au kutongozwa na wengi, na kutoa penzi kwa wengi sio kitu cha kushangaa.

Pia kibailojia, mwanaume ukifanya mapenzi muda mrefu au kukojoa sana, utaamka mgonjwa...kwa mwanamke hicho kitu hakipo...kikubwa umuandae tu, pia wanasayansi wameshaprove kuwa papuchi ni elastic/inavutiika na kubana...kwahiyo hata upige paipu vipi, HUIKOMOI NG'OOO.

Mfano mwingine, hebu jaribu kumfanyia fujo au kumpiga demu wako hadharani kwa mkasa wa mapenzi, hata kama majirani wanajua ni demu wako, utashangaa jeshi la vijana au hata watu wazima wamekuvamia na kukupiga wewe/kumtetea huyo mwanamke na sio wanawake wenzao...ukija kuwafatilia utajua huwa wanakula mzigo kimya kimya. Ndo maana demu ukimuacha hasoti kama wewe...kama hana bwana anapata hata baada ya nusu saa.

yeyote aliyetunga Theory hiyo ya kwamba wanawake ni wengi ni mpotoshaji.
 
Nakumbuka siku nampata mwanangu,tulizaa vidume siku hiyo we were just 3 women na wanawake wengine 11 walipata wasichana.Sijui sasa labda ilikuwa ni siku hiyohiyo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom