Kila nikitafuta mwanamke mwenye hekima ili nioe baadaye ananigeuka

Kila nikitafuta mwanamke mwenye hekima ili nioe baadaye ananigeuka

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
496
Nilichogubdua kuna haja ya kumpima imani mwanamke unayetalajia kuoa , unaweza hata usimpe chochote ili uone hilo atalipokeaje tena kama umepanga nyumba nzuri plz mpeleke hata kwa rafiki yako ambaye hajawa vizuri ili ajue ni kwako hapo utajua tu mapokeo yake baada ya kufika hapo mwambie hapa ndo kwangu.

wanaume tunaumia sababu tunajalibu kumwonyrsha mwanamke maisha mazuri , hakuna mwanamke atakukataa kama amefika kwako akaona uko vizuri hayupo kabisa sasa hivi.

Kuna haja ya kumwambia mwanamke kwamba hauna hera ya kumpeleka salon ili uone atafaanya nini kama ikienda salon basi ujue hapo hamna mwanamke wa kuoa ila kama ikikuelewa na akachana nywele zake vizur basi jua una mwanamke mvumilivu , hapo wewe oa tu hata mengine atakuvumilia.

samahani wadada hum ndani mi ndo nalala hivo.
 
Jipange Mzee, hna mtu anayetaka maisha ya tabu Siku hizi, who are you eti mtu akupende na dhiki zako?
 
Anaweza akaonyesha huo uvumilivu unaousema, asikuombe pesa na ww usimpe maana huna, asitake vya thamani maana huna, asiwe na tabia chafu mbele ya macho yako na akakuonyesha upendo hadi ukamuona huyu ndio bikira maria wangu. Ila huko nyuma ya pazia akiwa mbali nawe au ukimpa mgongo anayoyafanya ni zaidi ya akina binti sayuni. Achana na hawa viumbe ww maana yaliyonikuta achatu niweke nukta.
 
Kwa maana hiyo unataka mtu alie real kwa kumuonyesha the fake you!! Mwanamke mwenye hekima hawezi kuwa na mwanaume wa aina hiyo.
 
Endelea tu na maigizo yako !!!! Siku ukiamua kuwa wewe kama wewe utapata mke
 
Mm naona tatizo liko kwako we huwanunawapata wenye hekima ila.wote wamegundua we ndo huna hizo sifa
 
Back
Top Bottom