Leo nimeamini Mungu yupo japo inauma

Leo nimeamini Mungu yupo japo inauma

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,886
Leo nilikuwa na mtihani flani japo nimefeli vibaya mno nilijiandaa vizuri na nilikuwa na confidence vizuri ila asubuhi niliota ndoto mtu ananiambia maneno haya "A God's appointed time,you will be healed without any personal effort." Japo nimefeli nashukuru kumbe Mungu ananifuatilia anzia sasa naacha njia mbaya
 
Ulichopata ndio stahili yako ukipanda bangi utavuna bange.
 
Kwa hiyo tusker lite na madanga unayaacha.

Anyway. Kila la kheri. Inataka moyo saana
 
Pole sana, ni wachache ndio wanaweza wakaelewa status uliyonayo sasa jikite katika hali ya toba maana huzuni ya Mungu inakupeleka katika toba, omba rehema mbele za Mungu mpaka ndani ya moyo wako uone kuna mzigo umeushusha na amani ya Mungu imerejea ndani mwako.
 
Pole sana, ni wachache ndio wanaweza wakaelewa status uliyonayo sasa. Jikite ktk hali ya Toba maana huzuni ya Mungu inakupeleka ktk Toba, omba rehema mbele za Mungu mpaka ndani ya moyo wako uone kuna mzigo umeushusha na amani ya Mungu imerejea ndani mwako.
Hawawezi kuelewa kabisa ila namshukuru Mungu sana
 
Hayo maneno yananifaa mm maana nimemtafuta muda mrefu hafanyi ninachomuomba
 
Leo nilikuwa na mtihani flani japo nimefeli vibaya mno.japo nilijiandaa vizuri na nilikuwa na confidence vizuri
Ila asubuhi niliota ndoto mtu ananiambia maneno haya.at God's appointed time,you will be healed without any personal effort.
Japo nimefeli nashukuru kumbe MUngu ananifuatilia anzia sasa naacha njia mbaya
Acha njia mbaya kwa kuanza na kutoa hiyo avatar yako ya sasa, unatutoa udenda na kutamanisha ni dhambi pia.
 
Back
Top Bottom