Jamani hizi tabu nimechoka

Ras wakambo

Member
Nov 22, 2011
71
6
Wanajamii mwenzangu hataki hata kunisikia...leo kagoma kupika then kanambia kashtaki tena jf coz anasema amewahi kuona mashtaka yangu
1. Kumkumbuka alemtoa kimfuniko na
2. kuhusu cm ya usiku alocngizia anaongea na mama yke kumbe sio.....sababu ya kujua ni username nayotumia ndo gna langu la mtaani...nisaidieni nimuelimishe huyu mtu jamani
 
Hahahahaha. . .watu wengine mnachekesha. . au sijui ni huu moto nnaoota hapa!!

Nwy. . .sasa tumwelimishe umemleta? We badala ya kurekebisha jiko liwashwe unakuja kushitaki tena, alafu mashtaka yenyewe hata hayajakamilika maana hujasema kisa cha yeye kukataa kupika.
 
ni kweli ulileta hayo mashtaka hapa....???
labda utumie aproach nyengine next time badala ya kuleta humu,ongea naye...
kwa sasa km ulileta muombe msamaha kinafkim,mwambie umejifunza hutorudia....
kama hukuleta hayo mashtaka mkeo ni paranoia...anaumwa muone mtaalam/psychiarist lol:wacko:
 
Wanajamii mwenzangu hataki hata kunisikia...leo kagoma kupika then kanambia kashtaki tena jf coz anasema amewahi kuona mashtaka yangu
1. Kumkumbuka alemtoa kimfuniko na

2. kuhusu cm ya usiku alocngizia anaongea na mama yke kumbe sio.....sababu ya kujua ni username nayotumia ndo gna langu la mtaani...nisaidieni nimuelimishe huyu mtu jamani


kaka mbona pole? ila sidhani kama kweli mwanamke anaweza kuwa na roho kama hiyo kwa mumewe. cha kufanya hapa wala usimwambie mtu wa karibu kwanza ila mtishe.

Fanya hivi mpuuzie tena wala asikusumbue, wewe kula unapojua, kisha piga stori kitaa rudi late hata saa 6 na ukifika ndani usimsemeshe chochote.

Kama ulizoea kufanyiwa kazi za kibaba naye mpotezee tu pasi mwenyewe, fua chui mwenyewe. ukilala kama yuko kitandani lala hata kwenye kochi nunua kineti cha kishkaji kuzuia mbu.

Yaani staili iwe ya dont see me for two wks uone. tena ikiwezekana siku rudi na condom mfukoni. kama huna watoto unaweza hata kuamua kulala hotelini kwa muda.
 
we badala ya kumbembeleza unakuja kushtaki tena hapa? Ngoja aoene ndo utaujua mziki wake!
 
Wewe inaelekea huyo mpenzio kakushika au wewe ndo unang'ang'ania huo uhusiano, hainiingii akilini kwamba alifanya kosa la kukudanganya anaongea na mamake ucku halafu bado anatingisha kiberiti. Ww ulipogundua umedanganywa ulichukua uamuzi gani ? au ndo ulikimbilia kushtaki gf ? halafu baada ya kushtaki ulifanyaje?.
Hilo tatizo linatokana na ww mwenyewe kwa mtizamo wangu, wanawake wanapenda wanaume wenye maamuzi, walio na ujeuri katika mambo ya msingi siyo unakuwa m2 wa kuomba kusaidiwa kila wakati.
 
duh mamaa ashajua unakujaga kumsemea humu :happy: pole...mwache aendelee kugoma kuna wengi tu mtaani wanatafuta wanaume shauri zake...na wewe mamaa kama unasoma hii post embu ingia jikoni kampikie mumeo...ndo tabia gani hii:A S 13:
 
Back
Top Bottom