Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari ya uzima wanaJF...Kama tittle ilivyo natafuta mpenzi wa kike ambaye tutawezakushare mambo mbalimbali including serious matters abt life... Umri itapendeza awe from 20 hadi 25
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KAMA UNATAKA KUFANYA RESEARCH VIZURI SIMAMA KONA YA KWA MWL MIKOCHENI SIMAMA JUNCTION YA CLOUDS FM SIMAMA KONA YA KUELEKEA ROSE GARDEN WAMAMAA WANAANGALIA NJE KAMAWANATAKA KURUKA WAFUNGUE...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani kuna siku kwenye pitapita zangu si nikapata mdada mmoja kaumbika huyo huko kwenye tangazo la jamii kajaliwa bwana kichuguu kimekaa vizuri unaweza kuweka hata sahani ya wali ikatulia...
2 Reactions
36 Replies
9K Views
INATIA HURUMA[emoji24] Umemuomba akutumie picha ya utupu. Akakuambia siwezi nauheshimu mwili wangu siwezi kufanya hicho kitu. Ukambembeleza na kumsihi kwa maneno matamu yenye ulaghai. Bado...
22 Reactions
71 Replies
12K Views
Habari wadau, Nataka tujadili suala hilo kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kwanza mimi binafsi napenda niwe muwazi ya kuwa tangu mwaka umeisha nimeshuhudia ndoa si chini ya tano, hizi za...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wapendwa habari za leo, Niko kwenye ndoa mimi na mume wangu huwa hatufichani kitu ikiwemo password za facebook. nk. Kifupi mume wangu hataki kabisa nitumiwe text yoyote facebook au SMS za...
6 Reactions
95 Replies
10K Views
Hivi mwanamume mwenye akili timamu aliesoma mwenye dira ya kimaisha unaenda kuoa mwanamke kimbau kisa ni msomi au anasura nzuri. Mwanamke mwembamba hawezi kuwa kwenye bonge la nyumba akaonekana...
19 Reactions
244 Replies
25K Views
Naomba kuleta kwenu mambo ambayo naamini ni muhimu kuyatafakari na kuyapa uzito wenye kustahili...... 1) Kujitambua. Kila msichana aweze kutambua nini kinamfanya kuwa mwanamke. Kwa maana kama ni...
39 Reactions
118 Replies
37K Views
Habari wanajamvi, leo nimekuja na research ndogo nilivyoifanya kwa muda kidogo. Kuongezeka kwa utandawazi kunafanya watu wajue mambo mengi sana kwenye kungonoana. Kumekuwepo na ongezeko kubwa...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadau,, Huwa ninajiuliza kwa nini wanawake vibonge na wenye vitambi (hasa wake za watu) huwa ni rahisi sana kuwatongoza na kuwagonga?...au wamechokwa na waume zao sababu ya maumbo yao???.halafu...
7 Reactions
48 Replies
9K Views
Sijawahi kua na urafiki na jinsia ya kike na wala sitarajii kuja kua na urafiki wa namna hiyo mahusiano yangu na mwanamke ni kushiriki nae ngono tuu huwa nawashangaa sana unakuta jamaa anakuambia...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Mdada wangu wa kazi ni mkarimu sana. Ananipenda mno. Anampenda mtoto sana! Mm baba mwenye nyumba nikirudi tu usiku nakuta kitanda ametandika vizuri mno. Bafuni kaweka maji ya moto. Mezani...
2 Reactions
29 Replies
6K Views
Wadau hii dunia ukistaajabu ya musa utakutana na ya firauni. ubazazi na ubaradhuli kwa kweli umetamalaki mambo yamekuwa mzoba mzoba. Jamaa mmoja mwenye maduka mengi ya nguo mitaa ya sinza na...
12 Reactions
138 Replies
19K Views
Kipindi hiki cha mvua wanawake huwa wanatulingia sana yani ukimwita anakwambia nitumie nauli hata kama anakaa karibu au K/koo anataka elfu 30 ya nauli utadhani anatoka Mwanza. Tuoneane huruma...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Una ndugu yako kaka/mdogo wako ambaye, hana sauti kwa mkewe, wakikorofishana ni kichapo matusi kwa kwenda mbele,siku mke akizidiwa nguvu anategea jamaa amelala fofofo anaanza kumshushia kipondo...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Wenyewe walio wajuvi wa mambo hayo waliamua kuacha wazi mlango wa maana halisi ya neno Mapenzi. Kwa maana hyo kila mmoja akatafsiri Mapenzi ajuavyo. Leo imekuwa kawaida kujikabidhi kwa Mwanaume...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jamvi, Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu, Je, ni kweli kwamba kila mwanaume mwenye mafanikio basi nyuma yake kuna mwanamke? Katika kipindi hiki cha kizazi cha • com kweli hilo...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Kwa Wanawake Sex kwao sio kipaumbele kabisaaa. Kama kila muda unapokuwa nae unawaza kumpeleka kitandani tu hauko sahihi my black brother! Labda kama una-date na pizza bandit au slay queen...
10 Reactions
62 Replies
5K Views
Wanawake mlioko ndani ya ndoa mko wapi kutetea ndoa zenu wezi wamejitokeza hadharani kwa mkuu wa mkoa na kujitangaza kwamba wana waibia na wanahitaji waume zenu warudi kwenye wizi kwa kuwarudia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom