gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,025
Wakuu habari za mda huu,
Straight to the mada.
Mwenzenu niko njia panda kuna mwanaume nipo nae kwenye mahusiano ni wa mda mrefu kidogo na plan zetu ni kuoana Mungu akijaalia ila mimi ndo nampenda zaidi kuliko yeye yuko kawaida tu hayuko interested na mimi kiivo inaweza pita siku tatu bila mawasiliano.
Kuna uyo mwanaume mwengine yeye sipo nae kwenye mahusiano ila ndo yupo kwenye harakati za kuniingia akilini na vizawadi vya kutosha na anaonesha interest za kutaka kunichukua jumla ila mimi ndo simpendi hata kidogo ila kwa mbali namuona kama naanza kumpenda.
Sasa apa sielewi nimuache yule wa zamani niambatane na huyu mpya au niendelee kumsubiri tu mchumba wangu wa zamani maana nahofia mwisho wa siku nitakosa vyote.
Karibuni kwa ushauri.