wandugu najiuliza sana hivi lile jamaa ambalo line mgegeda mama dangote 1.nikweli linampenda au ndo linefuata hela za show
2.nikitaka kumgegeda mama dangote ndo nitatoka kimaisha 3...
Nina mpenzi wangu nasoma nae chuo kimoja mwaka wa 1 tulivyoenda likizo amebadilka sana hana mda wa kuchat na mimi nikichat nae basi SMS tano mwisho anasema kazi nyingi.
Tulivyorudi likizo...
Kuna wanaume wengi sana wanaamini ya kwamba pesa ndio kila kitu katika mapenzi, Hii hali imekua tofauti sana kwangu na ni mara nyingi marafiki na ndugu zangu nimekuwa nnikiwaacha midomo wazi pale...
Habari wakuu,
'Mkubwa hakoselewi' huu usemi jamani nampenda sanaa mama yangu lakini kuna vitu naona havipo sawa nimewahi kujarbu kumwambia kama mtoto lakini anabadilika kidg baade anarudi kule...
habari zenu wadau,
je umewahi kulala siku moja ukaota unafanya mapenzi usingizini?
je umewahi kuota unafanya mapenzi na mwanamke ambae humjui ( hujawahi kumuona katika maisha ya kila siku) ?
je...
Wanajamvi naomba maoni yenu maana naona hoja ya idadi ya watoto siku hizi imepamba moto sana. Kila mtu anataka watoto kadhaa mwingine mmoja, mwingine watatu, mwingine wanne nk.
Je ipi ni idadi...
Kuna kitambo sana tangu nitingane na mwanamke niliyezaa nae, sasa nowdays kumekuwa na tumawazo twa kutamani kuwa na mtu wangu ila sio wale niliowahi kuwa nao najitakia mpya, charming, anajua kazi...
Nimezaa na kaka mmoja (Muhindi) mwanzo nilipata amani kabla sijazaa nikiwa na mimba ya miezi 8 ndio aliamua kuondoka bila taarifa na kuniachia mzigo mkubwa wa kulea mimba na mpaka mtoto...
Ndugu wana JF,
Nimeona nilete uzi huu kwenu,
Unakuta mdada ni mrembo tena anavutia ila sasa upande wa pili ni mchafu kupindukia. Simaanishi uchafu wa mwili la asha.
Yani unakuta labda kaja...
Amani iwe nanyi wapendwa,
Inaniuma sana, nilikuwa na msichana mmoja mkali baraa yaani mzuri sana (kisu) hatari lakini kwa sasa siko naye tena.
Mimi naishi nyumbani lakini yule msichana...
Habari za majukumu wakuu wenzangu.
Jamani sijui niseme ni wivu kupitiliza au mashetani yanamsumbua siku moja nilichelewa kurudi nyumbani ikafika saa tatu usiku ndo nikarudi nyumbani ilihali si...
Habari wadau,
Leo nmeona niwashirikishe hili kidgo juu ya tendo la "ngono" nmetumia neno ngono kwasababu ninajua ningesema neno tendo "la Ndoa"
Siku hizi sio wote wanaofanya "kwichkwich"...
Ni kwamba nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi ambaye hatukuwa na malengo ya kuja kuishi wote na kila mmoja alijua hilo lakini tukiwa ndani ya mahusiano aliniambia ni mjamzito na hakutaka...
Mpendwa rafiki! ( nikukumbushe);
Mwaka 2013 tukifanya kazi Katika ofisi ya umma jijini Dar Es salaam , tulipangiwa kazi maalumu kwa muda katika mkoa mmojawapo kanda ya Kati,hivyo ikatulazimu...
Habari zenu wapendwa
Mimi nina boyfriend wangu tuna miaka mitatu sasa mwanzoni tulipendana sana ila sasa hivi mwenzangu kabadilika kawa muongo
Alinisaliti nikamsamehe ila bado ananisaliti...
Kuna dada nilijalibu kuomba usajiri kwake eti ananiambia ameokoka anamtegemea Yesu mala oh! Ridhiki lake lipo ila sio mimi nikamuuliza kwa hiyo una bikra? akasema hana mh!! Namimi sikuchoka...
Huyu girl sina malengo nae, hata jamaa hana malengo just kupita tu. Ananitumia mm nimpe mawasiliano ya uyu girl bila kujua kua nimeshapita. Nawaza nimwambie ukweli kabla ya kumuunganisha au...
Mambo vp wanaJF.
Wakati tunamalizia siku ya wanawake duniani napenda kuwa pongeza wanawake wote kwa jinsi wanavyopambana kwa namna yoyote ile ili wajikwamue kimaisha na kuhakikisha ndugu zao...
Wana Jamvi,
Hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana PM, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.
Hamad...
Wanawake bhana mnashangaza kwa hizo tamaa zenu
Tangu nijiunge FB mwaka 2009 na kuwa na marafiki kadhaa wa kike na kiume
Miongoni mwao hasa wadada hawakuwahi kucomment wala kulike picha yangu...