Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,027
- 2,252
My dear fellow professionals (lawyers/ Advocates), specifically male lawyers/ Advocates ... ni nini mmewafanyanya wanawake wa kitanzania kiasi cha kunikosesesha mimi your fellow learned brother a wife/ a serious relationship... maana kila ninapo ulizwa na hii jinsia yetu pendwa kuhusu kazi yangu... nikisema tu kwamba mimi ni Advocate basi nawapoteza hawa potential wives ... mme wafanya nini kwani?