Msaada: Huyu Binti kaniambia ana HIV

Msaada: Huyu Binti kaniambia ana HIV

Mzee Mchochezi

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
125
Reaction score
244
Salam wakuu,Heri ya Muungano/Maandamano

Niende kwenye mada

Naandika Uzi huu nikiwa siko vizuri sana kimawazo

Wiki chache zilizopita nilikutana na binti ana 20 years,nikamtongoza baada ya siku kadhaa akanikubali na nikamshawishi kula tunda

Nakumbuka jumamosi fulani binti akatimba ghetto tukapiga mechi

Nikiri sikutumia condom,halafu nlikua kama na gamba laini mbele ya kichwa cha dudu nahisi ni tatizo tu la maambukizi ya ngozi (Fungus) na hii ilitokana na hali ya hewa huku niliko

Basi nikapiga sana mzigo kule mbele kukawa kwekundu ile sehemu yenye kugamba,nahisi nlichubuka

Nimetumia Dawa pamekaa fresh

Sasa nirudi kwa huyu demu tuna chat vizuri tu,Jana mida ya usiku katika chat chat yetu ananiambia hubby kuna mambo mawili nataka kukuambia ila ntakuambia moja hilo lingine naogopa,mi nikamtoa wasiwasi akaanza kunipa historia ya Maisha yake hasa upande wa familia nikamwelewa

Kuhusu jambo lingine akawa anazingua kusema mi nikamuuliza au una NGOMA hutaki kuniambia

Akanijibu ndio anayo na anatumia Dawa,akadai alizaliwa nao,nimsamehe ananipenda

Kiukweli wakuu Niko njia panda baada ya huyu binti kuniambia hivi,nawaza kwenda kwao nikamzingue

Anadai walezi wake hawajamwambia kama anaishi na HIV ila aliambiwa hospital

Nifanyaje wakuu,nahitaji ushauri na mawazo yenu juu ya hili janga alilonitangazia huyu binti.
 
Mzee Mchochezi kiukweli wewe ndi uombe msamaha kwa kumuambukiza fungus ilhali mwenzako kinga zake ziko chini.

Kingine hajakupa janga ,umechuma mwenyewe ,

1.umemtongoza

2.kakukubalia hana roho mbaya bint wa watu

3.Umeenda kumgegeda ilhal ukijua kuwa kigegedio chako kibovu kina vidonda
4hukuchukua tahadhari ya mpira wa kiume

Nenda kapime mkuu muliendeleze huna sababubya kuachana nae sasa na wala hakuna risk ya virus chotara hapo maana ni vyake yye tu unaviihamishia kwakonkwa from now on htopata maambukizi mapya bali utakuwa unaongeza au kumbukuza idadi ya virus unaweza kuendelea tubkupiga kavu hata miaka miwili vikikolea ndio uanze mengine .
Pole mkuu.
 
Naona ushauri wote wa juu hapo ni kukuchanganya tu. The best thing ni nenda kwa dada na ongea nae vizuri na uombe mkapime wote tena hospitali ya serikali na mtapata ushauri mzuri kabisa na unaweza kuta binti alikua anakuchangamsha akili.

Stay well Bra
 
Vijana wengi kuanzia 1990 hadi 2000 wamezaliwa wakiwa na tatizo,ila kuna mtu humu aliwahi sema kama mgonjwa anatumia dawa kumwambukiza mwenzie ni asilimia chache sana..
 
Vijana wengi kuanzia 1990 hadi 2000 wamezaliwa wakiwa na tatizo,ila kuna mtu humu aliwahi sema kama mgonjwa anatumia dawa kumwambukiza mwenzie ni asilimia chache sana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utauwa watu Professor
 
Huyo demu namfahamu anaitwa HOPE usimzingue muache kikubwa kapime wewe kwanza halafu ukiona upo negative kuwa na huyo demu ila usimle tena mpaka pale atakapo fikiria kukuacha,

( wewe ulifikiri demu mwenye ngoma atakataa kukupa k anakupa vizuri tu tena kwa ushirikiano wa 100% )
 
Duuh, pole kijana haya ndo matatizo yakuparamia vijisichana usivyovielewa tena bila Mpira....
 
Upendo wa kweli hauna macho, kwa maelezo yako huyo mwanamke wako ulimtamani tu
 
Nenda kapime tu, baada ya miezi mitatu urudi tena kupima. Ukimwi upo
 
Unapanda cheo sasa ivi utaitwa muathirika mzee mchochezi
 
kiukweli wewe ndi uombe msamaha kwa kumuambukiza fungus ilhali mwenzako kinga zake ziko chini.
Kingine hajakupa janga ,umechuma mwenyewe ,
1.umemtongoza
2.kakukubalia hana roho mbaya bint wa watu
3.Umeenda kumgegeda ilhal ukijua kuwa kigegedio chako kibovu kina vidonda
4hukuchukua tahadhari ya mpira wa kiume
Nenda kapime mkuu muliendeleze huna sababubya kuachana nae sasa na wala hakuna risk ya virus chotara hapo maana ni vyake yye tu unaviihamishia kwakonkwa from now on htopata maambukizi mapya bali utakuwa unaongeza au kumbukuza idadi ya virus unaweza kuendelea tubkupiga kavu hata miaka miwili vikikolea ndio uanze mengine .
Pole mkuu.
Hii reply imeniacha hoi[emoji23]
 
Mhhh hii ngumu sana pole sana najua uko kwenye situation mbaya sana
 
Unaweza ukafa kwa mawazo ukifuata watu wa Jf,,

mkuu kwanza nikupe pole kwa situation unayoipitia,,lakini pili usikate tamaa na wala usivunnike moyo,usiishi kwa wasiwasi bila kuwa na uhakika mkuu Fanya maamuzi sahihi mwende mkapime kama ni kweli mtajua muishi vipi lakini inawezekana pia ikawa sio kweli maana wanawake wengi hutumia njia hii kiwakataa wanaume
 
Back
Top Bottom