Baada ya mchezo ananiambia yupo siku za hatari, mabinti acheni hizi tabia

scientificall

JF-Expert Member
Jun 4, 2015
454
314
Mpenzi wangu wa siku nyingi japo ananikubali sana mimi sina time nae namchukulia kama kiraka tu cha kumalizia sumu yangu.

Jana kaja geto kunisalimia baada ya stori tukaingia kwa match round ya kwanza nilienda tubeless maana maandalizi yalikua yanajitosha sasa round ya pili nikaamua kutumia ndomu.

Baada ya mchezo ananiropokea eti sasa nikipata mimba itakuaje maana leo tarehe 4 alafu tarehe 6 ndo naingia MP.

Kwa kiburi nami nikamjibu "ndo nataka hivyo". Nilimshangaa sana na kumuona ni mjinga kwani alishindwa nini kunambia mapema. Mpaka sasa nawatathimini wadada wenye akili kama huyu nahisi watakua ni zero brain.
 
Dah hiyo science au biology ya wapi ulisoma eti usex tar nne halafu tarehe sita anaingia MP then akuambie yupo katika risk ya kupata ujauzito??

Let her go.....
hahahahaahahah hata mimi nimetoa tu macho hapa, ndo maana tunapata watoto ambao hatujapanga, zile siku safe wanaona ni za mimba na za mimba wanaona ni safe
mtoa mada ndo zero brain kabisa, tena zero yenye plus
 
Watu wengine wapuuzi kweli maana mtu unakuwa na mtu wako unatumia nguvu zako then unaona unampotezea muda.
sema tunapotezeana muda.
akili yangu inanitosha mwenyewe maana huwezi nambie unanipotezea muda wakati hata wewe unatumia nguvu nyingi na muda mwingi sana kuwa na mimi.
Nimechukia sana uzi wako ningekuwa na uwezo ningeufuta kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kama hauna time nae si umuache tu kuliko kupotezeana muda
hana lolote huyu kwanza bado anakaa gheto, so si chochote wala nini? asisumbue watu wajione walipo maybe hawathaminiwi. Pia anapoteza nguvu zake na akili zake badala ya kusoma hata Biology aelewe danger days ni siku gani. Ndo hawa wanaambiwaga kitu bila kuelewa wanajikuta washatoa hela kumbe uzuzu umewabana wanajifanya werevu
 
Hujielewi wewe mfyuuu, kama huna time nae unampotezea muda kwa nini? Alafu unakuja kujigamba hapa..ziro brain+wewe
 
hahahahaahahah hata mimi nimetoa tu macho hapa, ndo maana tunapata watoto ambao hatujapanga, zile siku safe wanaona ni za mimba na za mimba wanaona si safe
mtoa mada ndo zero brain kabisa, tena zero yenye plus


Msamehe tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom