Swali: Kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe wa kawaida tuu

artha

Member
Dec 15, 2017
91
30
Habarini za jioni wapendwa ....Poleni na majukumu ya hapa na pale. Nisiwachoshe sana hebu twendeni kwenye hili swali kwa upande wangu naonaga ni tatito sana hasa kwa wanaume.

Eeeti kwanini wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe ni wa kawaida tuu hata kama ni alikuwa mzuri sana
 
Habarini za jioni wapendwa ....poleni Na majukumu ya hapa na pale.. Nisiwachoshe sana hebu twendeni kwenye hili swali kwa upamdewangu naonaga nibtatito sana hasa kwa wanaume ....

Eeet kwa nn wanaume wengi wakikataliwa na wasichana huishia kusema demu mwenyewe ni wakawaida tuu hata kama ni alikuwa mzuri sana
We ni me au ke?
 
Ila kuna jamaa office mate yeye zile za mtongozo wa barabarani akiona mrembo anamtolea nje husema nimekukumbuka wewe juzi nilikuona unapata haja kubwa pale mtaa fulani (akitumia neno husika) mwanamke gani wewe hata kujiheshimu hujiheshimu mara ya kwanza kusikia hivyo nilicheka sana LoL hahahahaha
 
Back
Top Bottom