Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuoa au kuoelwa ni jambo ambalo watu wengi hutamani kwani ni miongoni mwa hatua kubwa katika maisha ya kila mmoja. Ukifanya utafiti kwa watu ambao hawajaoa wengi watakwambia wanatamani siku moja...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni...
1 Reactions
44 Replies
21K Views
Ukijaliwa kuwa msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani, urembo wako hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya. Uzuri wako hausaidii kitu...
1 Reactions
25 Replies
9K Views
Wanawake mnapewa pesa za matumizi yaani mahitaji ya nyumbani wewe unachukua pesa unapeleka kwenye vicoba sijui marejesho. Mara ulichukua mkopo Brac basi pesa ya matumizi inaishia huko, huku...
18 Reactions
89 Replies
11K Views
Habari wadau Kuna mwanamke ambae nilikiwa nae kwenye mahusiano baadae tukatengana baadae akaniambia ana mimba yangu so kuanzia analea mimba had leo mtoto amezaliwa hatuko kwenye mahusiano ya...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu, Sio kwamba nafurahi ila najiuliza, je au sampuli zangu zinakuaga sio (wife material) au je, kuna uhaba wa sisi wanaume kiasi hiki ama inakuaje? Hawa wadada ni warembo na wanavigezo vyote...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Unasemaga asante baada ya tendo la ndoa? Ama unafikiri haina haja ya kushukuru kwa maana ni haki yako? Mimi huwa ninashukuru wewe je?
15 Reactions
149 Replies
21K Views
Leo naomba kuuliza kama hivi; Bado wapo wale wanawake wanaolia wakigombezwa na waume ama wapenzi wao? Au mambo sasa ndio bumper to bumper? Nipige nikurudishie au nikawaite kaka zangu?
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Nawasalimu wajuvi wa mambo naamini wote wazima na hakuna aliekamatika na vuguvugu la maandamano, Ni hivi, mimi ni kijana wa makamo kuna binti nilifahamiana naye, na nilimpenda sana na yeye alikua...
6 Reactions
74 Replies
9K Views
Katika kuifanya ndoa iwe imara, niliwahi kuzungumzia mavazi sahihi ya mke kumvalia mumewe wakiwa chumbani. Lakini pia nikasema kwamba, kama kwenye nyumba mnaishi wawili tu, sioni shida mke kuvaa...
3 Reactions
21 Replies
20K Views
Unapoachana na mpenzi wako kuna sababu ya mfarakano huo kutokea, inawezekana hakuwa yule uliyeandikiwa. Sasa wale ving’ang’anizi mnavyo zidi kung’ang’ania mnaziba mipango ya Mungu aliyowaandalia...
19 Reactions
101 Replies
9K Views
Kutembea kunampa mtoto elimu ya ziada, pamoja na kuwa hali ni ngumu lakini likizo angalau mara moja kwa mwaka si mbaya. Somo jigrafia mtoto akisoma aina ya milima kama alishafika Moshi na kuona...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
Au naibiwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Imekuwa ni kawaida sana kwa Mara ya kwanza kabisa kukutana na mwanamke either kumuomba kampani yake au namba ya simu jibu LA kwanza atalokupa ni "Hapana" ila ukweli ni kwamba hapana yao...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwa kweli huyu shemeji yenu simuelewi kabisa nini maana ya haya mambo anayoyafanya kwangu. Nashindwa nimweke katika kundi gani, au ni adui anayenimaliza kimya kimya. Nakumbuka wakati flani...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwanamke akimtawala mume wake anadhani wanaume wote ni sawa tu na mumewe, wanaume wadhibitini wake zenu tusije tukawasaidia kuwazaba vibao. Kuna kauli zingine za dharau anaweza akaonyeshwa rafiki...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Amani iwe kwenu. Guys natarajia kufunga ndoa mwshon mwa mwez ujao. Nimewaza zawadi ya kumpa mamangu na bwana harusi mtarajiwa siku ya sendof nakosa idea mpya. Nawaomben idea. Bajeti yangu ni...
0 Reactions
54 Replies
27K Views
Nawatakia wiki endi njema
1 Reactions
14 Replies
7K Views
Back
Top Bottom