Kwanini wapenzi wangu wa zamani hawaolewi?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,085
Reaction score
16,063
Wakuu,

Sio kwamba nafurahi ila najiuliza, je au sampuli zangu zinakuaga sio (wife material) au je, kuna uhaba wa sisi wanaume kiasi hiki ama inakuaje?

Hawa wadada ni warembo na wanavigezo vyote ila yaani katika idadi yao ni wawil tuu au je ni umri ila sidhani kama umri maana wote wamemaliza vyuo miaka zaidi ya m3 iliyopita etc, recent one kamaliza mwaka jana.

Na mmoja ni mtu mzito sana kwenye kampun1 ya simu hapa Tz.
 
Wakuu,sio kwamba nafurahia[emoji23][emoji23][emoji23] tehteh,..ila najiuliza,..je ,au sampuli zangu zinakuaga sio wife material,..au je,kuna uhaba wa sis wanaume kias hik ama inakuaje

Hawa wadada ni warembo na wanavigezo vyote ila y,yaan katika idad yao ni wawil tuu,..au je ni umr,..ila sidhan kama umr maana wote wamemaliza vyuo miaka zaid ya m3 iliyopita etc..recent one kamaliza mwaka jana

Labda ulikuwa unachukua wakinamama ntilie ambao sasa wanajifu waliwahi kuwa mama ntilie baada ya kupata vyeo vikubwa
 
Wakuu,sio kwamba nafurahia[emoji23][emoji23][emoji23] tehteh,..ila najiuliza,..je ,au sampuli zangu zinakuaga sio wife material,..au je,kuna uhaba wa sis wanaume kias hik ama inakuaje

Hawa wadada ni warembo na wanavigezo vyote ila y,yaan katika idad yao ni wawil tuu,..au je ni umr,..ila sidhan kama umr maana wote wamemaliza vyuo miaka zaid ya m3 iliyopita etc..recent one kamaliza mwaka jana

Na mmoja ni mtu mzito sana kwenye kampun1 ya sim hapa tz
Sababu unaijua wewe ambae ulikuwa na uhusiano nao ila ukaona huwezi kuwaoa ukawaacha. Au kama hujanielewa hukuwaoa wewe kwasababu 1,2,3 hakuna la zaidi.
 
Well,i thot ni sabab za utoto tuu watakua,kumbe bado wameendeleza,daah,bas kaz ipo
 
Kama wew huoi unadhani wao wanaolewaje?
Ama wew/wao kuna penye gundu.

Kumbuka wew ukiwaacha lazma uwachafue tu asa eti eti waoaji wakisikia wataoaje!

Acha zinaa basi si ungeoa tu hao umewaachia nini sasa?
 
Wakuu,

Sio kwamba nafurahi ila najiuliza, je au sampuli zangu zinakuaga sio (wife material) au je, kuna uhaba wa sisi wanaume kiasi hiki ama inakuaje?

Hawa wadada ni warembo na wanavigezo vyote ila yaani katika idadi yao ni wawil tuu au je ni umri ila sidhani kama umri maana wote wamemaliza vyuo miaka zaidi ya m3 iliyopita etc, recent one kamaliza mwaka jana.

Na mmoja ni mtu mzito sana kwenye kampun1 ya simu hapa Tz.
Inawezekana wanawachukulia poa wanaume wote kutokana na jinsi wewe(kama sample) ulivokua ukiwatreat,huenda hawakuona jipya lolote so wameona ni bora kuwa wenyewe tu kuliko kupata mume Kama wewe, badala ya kuchekelea pia jitathimini usiwaharibie sifa wanaume wenzio[emoji23] (joke).
 
Shutuma kali mjomba
 
Ina maana na wewe pia una matatizo pia kama Mangi Kimambi!
 
Inawezekana wanawachukulia poa wanaume wote kutokana na jinsi wewe(kama sample) ulivokua ukiwatreat,huenda hawakuona jipya lolote so wameona ni bora kuwa wenyewe tu kuliko kupata mume Kama wewe, badala ya kuchekelea pia jitathimini usiwaharibie sifa wanaume wenzio[emoji23] (joke).
Some want me back tho....,n wat if i was soo good to them n they see non to replace?..sababa,ma x wangu woote had leo tunawasiliana vzur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom