Kuachana na mpenzi

Kuachana na mpenzi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,405
Unapoachana na mpenzi wako kuna sababu ya mfarakano huo kutokea, inawezekana hakuwa yule uliyeandikiwa. Sasa wale ving’ang’anizi mnavyo zidi kung’ang’ania mnaziba mipango ya Mungu aliyowaandalia mbele ya safari.

Una ng’ang’ania mpaka mtu anakuchukia, mwisho wa siku hata mnashindwa kuishi kama binadamu.
 
Kwa kujifariji mko vizuri, wakati mko wote mbona hukuja kusema ni mpango wa shetani, mlikuwa mnabinuka tu kwa raha zenu.
 
Nlichojifunza tu ni kuwa nkiambiwa stak mara 3 bhas tunabak tu kuwa friend wa kawaida. Ila kuachana kwa aman
kuna raha yake aiseee.
Kubaki rafiki ni mpaka vidonda vya moyo vipone kwangu mimi
 
hahaha ila kuna msemo unasema:

"Kama wapenzi wakaachana alafu wakendelea kuwa marafiki kuna mawili either bado wanependana au hata hapo mwanzo hawakupendana."
Hata nilikutana na mtu aniambie anashirikiana na ex wake mmh nitaweka?
 
hahaha ila kuna msemo unasema:

"Kama wapenzi wakaachana alafu wakendelea kuwa marafiki kuna mawili either bado wanependana au hata hapo mwanzo hawakupendana."
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Haa haa haa aiseee
Kuna mtu ukiwa nae yan 24/7
Unarlux

Sasa cha ajabu mnaachana
Kwa ktu kidogo tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Haa haa haa aiseee
Kuna mtu ukiwa nae yan 24/7
Unarlux

Sasa cha ajabu mnaachana
Kwa ktu kidogo tu
basi hapo mnakua hamjaachana mpo break time tu
 
Hata ikiwa ndo mpango was Mungu kuachana kusikie kwa jirani jamani unaweza vua nguo utembee uchi ili ueleweke jinsi unavyojisikia looh staki kabisa kukumbuka
 
Back
Top Bottom