Bado wapo wanawake wanaolia wakigombezwa na waume ama wapenzi wao?

Wapo wengi tu utadhani wana tenki la maji standby kwa kazi maalum na muda maalum(hata wakinyimwa ruhusa ya kuzurura)

Dawa ni kuficha machozi na kuunda mbinu mpya(kununa kwa kwenda mbele)
 
Wapo tena sana!
Mwanamke anayejitambua kuwa yy n mwanamke yupo chini ya mwanaume lazma awe mnyenyekevu!
Ila visebengo vinavyojidai eti haki sawa ndo havina hzo but kila siku kulia na matatizo mara ute mweupe, sioni siku, sipati hamu, nk!
Kama haki sawa yaone na kwa mwanaume hayo ndo haki itakuwa sawa.
 
Mimi hata usiponisikiliza huwa najikuta nalia tuu, nikipuuzwa nalia vibaya sana sielewi tatizo langu ni nini
 
We utakua unalia wakat ukigegedwa
Sio kila kilio ni cha furaha saa ingine wengine wana madushelelee makubwa yakuzid (tango) unatamn amalize...na ukute jamaa limejipanga kumalizia ugwadu ayaaa mbn utaoteshwa kigingi adi kwenda kukojoa mkojo unawaza..
 
Mi akiniudhi au akinigombeza nalia hata akichukia mi nalia sijui kwa non nipo hv
 
Back
Top Bottom