Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Imekuwa ni kawaida sana kwa Mara ya kwanza kabisa kukutana na mwanamke either kumuomba kampani yake au namba ya simu jibu LA kwanza atalokupa ni "Hapana" ila ukweli ni kwamba hapana yao inamaanisha "nishawishi japo kidogo nitakupa" Hapana na ndio kwa wanamke inaweza kumaanisha majibu yote ni sawa!yaani kuna ndio ya Hapana na hapana ya ndio haihitaji nguvu nyingi kuwaelewa!usikubali kukatishwa tamaa ya jibu hapana wengine ni silaha yao tu yakusogeza muda mbele wasionekane there so cheap!
Message sent
Message sent