Kuna 'michepuko' huwezi kuiacha, 'never'

Kuna 'michepuko' huwezi kuiacha, 'never'

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,443
Reaction score
10,781
Kuna michepuko haiachiki. Kila ukijaribu tu image ikija unajipeleka. Utakuta mdada ana kila idara unayoihitaji, yaani kila utakacho unapatiwa.

Yaani ile unapanga visa na mikasa balaa ya kumuacha, ukimuona tu, mipango yote ya medani za kivita za Kim Jong Un unatupa kando.

Sasa ile sauti yake "Baby, leo nikupe nini wangu? " unahisi kama upo Paradiso.

Sasa acha ajaribu kukugusa, oooh! Ramani nzima ya vita unamkabidhi. Utashangaa miaka inapita, unachepuka tuu! Ukijifanya kuvaa miguu ya usain Bolt, eti utoke nduki, akikutext tu, utarudi fasta Mbeya hata kama ushafika Msamvu Moro.

Kuna watoto wameumbwa jamani, nitatoka kweli?

Nisaidieni mwenzenu mbinu mpya !
b28b3ce458aee58d4fee43f5d6fc628d.jpg
buffy.jpg
 
Ukiamua kutoka unaweza tu,,, !!


uyo blackie though...
 
Wajeda na mapolisi huwa wanateswa sana na mapenzi
 
... Aisee kuna michepuko haiachiki. Kila ukijaribu tu image ikija unajipeleka. Utakuta mdada ana kila idara unayoihitaji, yaani kila utakacho unapatiwa.

Yaani ile unapanga visa na mikasa balaa ya kumuacha, ukimuona tu, mipango yote ya medani za kivita za Kim Jong Un unatupa kando.

Sasa ile sauti ake... Duuuh! "Baby, leo nikupe nini wangu? " unahisi kama upo Paradiso.

Sasa acha ajaribu kukugusa, oooh! Ramani nzima ya vita unamkabidhi. Utashangaa miaka inapita, unachepuka tuu! Ukijifanya kuvaa miguu ya Usain Bolt, eti utoke nduki, akikutext tu, utarudi fasta Mbeya hata kama ushafika Msamvu Moro!

Kuna watoto wameumbwa jamani... Ntatoka kweli??

Nisaidieni mwenzenu mbinu mpyaa!! View attachment 768449View attachment 768450
Unataka kusema unachepuka na hawa uliowapost
 
Back
Top Bottom