Wanawake kwanini mnakuwa wakorofi na wasababishi wa matatizo bila sababu zozote za msingi?

The Professor

JF-Expert Member
Apr 30, 2013
2,218
4,533
Habarini wanajamvi? kwa neema za Mwenyezi Mungu naamini wote mu wazima wa afya.

Bila kupoteza muda niende kwenya maada.

Wakati fulani rafiki yangu wa karibu alikua kwenye urafiki mkubwa na mwanamke mmoja, urafiki wao ungekutia mashaka kukataa kama si wapenzi endapo tu ungekua uwafahamu. Lakini sisi tuliowafahamu hasa mimi binafsi tulijua walikua marafiki japo ulizidi lakini pengine ni aina fulani ya urafiki wa kipekee (jamaa yangu asingeweza kunificha kama ni wapenzi maana mimi ni mtu wake wa karibu anaeniamini sana)

Ucheshi na haiba ya uchangamfu wa rafiki yangu, kuongea na kucheka na kila mtu, polepole uliwavutia baadhi ya marafiki wa karibu na yule mwanamke. Sijui wa wakati huo yule mwanamke kama alipenda au hakupenda lakini automatic jamaa yangu alizoeana na marafiki wengi wa yule dada.

Jamaa yangu alikua na kanuni moja '' Mwanamke na mwanaume watakua marafiki milele endapo tu mmoja wao hatompenda mwenzake'' nadhani io hio kanuni aliipata mtandaoni.

Hivyo jamaa yangu licha ya kuzoeana nao wanawake wote hao kiasi cha sisi kumuonea gere kipaji uwezo wake huo wa kipekee wa kucheka na kuongea na kila mtu, jamaa hakuwahi kumpenda yule mwanamke wa kwanza wala rafiki yake yoyote

Nimalizie: Shida ilianzia hapa, yule dada wa kwanza alikua na mtu wake, japo hakusema lakini jamaa yangu alijua na alijaribu sana kumkwepa ili shetani asitoe assist jamaa aka score. Kumkwepa yule dada wa kwanza ndo balaa likaanza hapo,

Ghafla yule mwanamke kaanza kumchukia jamaa yangu, kagombana karibu na wanawake wote (rafiki zake) kawakataza kuongea na jamaa yangu, jamaa kajaribu kujishusha sababu ni muungwana lakini uyo mwanamke kakaza, jamaa hajamkosea, lakini akimsalimia mwanamke haitikia, simu hapokei, meseji hajibu, akipishana na jamaa kazi yake kusonya, mara kumtangazia jamaa yangu sifa mbaya kwa watu, yani ukorofi ukorofi tu, pia kama haitoshi asilimia kubwa ya marafiki zake nao wamekua wakifanya vituko hivyo hivyo. Pengine ni jambo dogo kama watakavyoliona wale wanaojiita wanaume wa mikoani lakini binafsi tabia hizi zinakera , ndo hapo najiuliza je kosa la jamaa yangu ni nini? kua mpole au?

Na vitu nivivyogundua kua kundi hilo hasa yule mwanamke wa kwanza
Asilimia kubwa wanataka kuabuiwa. Pia yule wa kwanza anataka ku mkontroo jamaa kama vipindi vya stesheni.

Kwanini lakini inakua hivi wakuu?

*nawasilisha.
 
Ah...unajua ndg yng kila kinachofanyika hutegemea na tamaduni za sehemu husika nahisi cc kibongo bongo urafiki kati ya jinsia mbili ulishatushinda nishashuhudi urafiki mwingi tu ukaishia kitandani ctaki kuskia kabisa eti mpnz wng ana rafiki wa kiume hatuwezi hz mambo tunafosi fosi tu kiukweli chunguza utakubaliana nami waweza kuta ktk huo urafiki wao hyo dem alishamtaka jamaa akawa anamskilizia jamaa nae kmya mwsho wa cku demu kamaindi chuki zisizo na msingi c wajua hawawezi sema?
 
Tatizo watu genye wanashidwa kilizuia
 
Umesema kweli mkuu
 
Mleta mada hii story mbona kama ni wewe ndio imekutokea ila umeamua tu kuizungusha eti rafiki yangu imemtokea?!
 
Ah...unajua ndg yng kila kinachofanyika hutegemea na tamaduni za sehemu husika nahisi cc kibongo bongo urafiki kati ya jinsia mbili ulishatushinda nishashuhudi urafiki mwingi tu ukaishia kitandani ctaki kuskia kabisa eti mpnz wng ana rafiki wa kiume hatuwezi hz mambo tunafosi fosi tu kiukweli chunguza utakubaliana nami waweza kuta ktk huo urafiki wao hyo dem alishamtaka jamaa akawa anamskilizia jamaa nae kmya mwsho wa cku demu kamaindi chuki zisizo na msingi c wajua hawawezi sema?
Asante sana mkuu hapo nimekuelewa sana asante
 
Huyo jamaa yako angemla huyo msishana, labda mwanadada angekuwa na adabu kidogo. Ila kama walivyosema wadau, hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanamume.
 
Urafiki wa mwanaume na mwanamke ni sawa na kuugeuza mua kua fimbo ya kutembelea,siku ukisikia njaa utautafuna tu huo mua.
 
Huyo jamaa yako angemla huyo msishana, labda mwanadada angekuwa na adabu kidogo. Ila kama walivyosema wadau, hakunaga urafiki kati ya mwanamke na mwanamume.
Naona wanawake mna wivu na roho ya kwanini kama nikuliwa si alikua analiwa na boy wake
 
Back
Top Bottom