Jamani samahanini!
Mods naomba mnisaidie hapa.
Wadada ambao huwa wanatafuta makalio makubwa huwa wanataka wamkalie nani na wapi na kwa misingi ipi?
Huwa mm sielewi.
Zaidi ya asilimia 90 ya Watoto wa kike wanaopata mimba wakiwa na umri mdogo huwa hawaishii kuishi/kuolewa na Waliowapa hizo mimba.
Wakati kijana Mwenzake wa kiume anaendelea na maisha yake kama...
Samahani napenda kutoa Tahadhali kwa wale wenye kuhisi wananipenda!
Nawashauri wasinipende Kimapenzi wanipende kawaida kama YESU na shetani
Kupenda huku Vepe?!
Kutaka kuwa kwenye mahusiano ya...
Kuna hii mada hapa chini niliandika kuhusu mimba iliyotokea bila kuipanga na binti akakataa kuitoa .
Nikikataa hii mimba nitakua na kosa?
Nashukuru sasa mimba imetoka yenyewe, nadhani ni kutokana...
Awali kabla ya yote, "mume mtarajiwa", Namaanisha mwanaume au kijana tayari kwa kuoa.
Ila haya niyatoayo ni maoni yangu binafsi, nakuruhusu kuyazingatia au usiyanzingatie
SAWA,
1. USIMWAMBIE...
kipindi flani huko nyuma nilitangaza kuwa sasa nimeamua kuacha kuruka ruka mitaro nataka nivute jiko. niliwaambia demu mwenyewe nimempata humu humu ndani. mi najua popote pale unaweza pata mke si...
Natafuta mke Wa kuishi nae awe tayari kuanzia chini na kuhangaika pamoja ktk utafutaji.
Awe mcha Mungu sibagui dini
Mimi Nina kipato cha kadiri hatuwezi lala njaa
Wakuu kama kishwa tajwa hapi juu,
Kuna baadhi ya hawa viumbe (ke) wanachothamini ni pesa tu basi hapo atakupetipeti ila siku ukimwambia hauna utaona wazi ananuna na kusonya utadhani wewe ni BOT...
Pambazuko fm @pambazukofm Apr 5
BUNGENI: Naibu waziri wa afya, @DocFaustine amesema watu wanaoenda kupima vinasaba(DNA) wanakuwa tayari wana wasiwasi ndio maana watoto wanne kati ya sita sio wa...
Habari za mda huu marafiki zangu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Nina rafiki yangu nipo nae fb kaamua kuniweka wazi kwamba anataka mume wa kufunga nae ndoa. Sifa zake sio ngumu ila...
#Habari24UPDATES, Mbunge wa Kavuu (CCM), Dk Pudenciana Kiwembe ameeleza malalamiko yake kuhusu ukaguzi wanapoingia bungeni. Amesema, ukaguzi wa kupitisha mikono kwenye mwili unaweza kupelekea...
Hello!
Madada zangu ambao huwa mna aina zenu za wanaume ambao mnataka kuwa nao..
Utaona bidada anataka mwanaume ambae
1. Yupo focused
2. Ana mipango ya maisha
3. Mwenye hofu na Mungu
4. Handsome...
HII Baada ya aliyekuwa Bwana Harusi mtarajiwa, Omary Hamisi, mkazi wa Buguruni jijini Dar, kupigwa changa la macho na Bi Harusi mtarajiwa wake, Aisha Muhammed na kujikuta akibaki na Shehe na...
Asalamu wanajamvi humu.
Kama kichwa kinavyojieleza nimeamua kuurudia u playboy kwa mabinti maana nimeona kujifanya unapenda mtu ni donda la moyo.
Nina mpenzi wangu nipo nae kama huu sasa ni...
Kiukweli sipingi imani ya mtu ila imani ukimuingilia mwenzako ni kosa.. Humu jukwaa ni jukwaa la mapenzi, mahaba na makila kitu ya mahusiano.
Lakini sasa imetokea mtu kapost jukwaa sahihi...
Wanaume tumejisahau kama....:
1.Mwanamke ni pambo au ua ambalo muda wote linahitaji uangalizi na maji ili lichanue na kustawi.
2.Mwanamke anahitaji kubembelezwa/kudekezwa vijana wanaita kupet...
Magufuri tunaomba ongeza kidogo kubana utusaidie huku maana kwa sasa wadada wote hawanuni na ukimuita anageuka haraka kama rimoti inavyozima tivi naona sasa heshima ya wanaume imeludi
Hello
Ikiwa tumebakiza masaa kumaliza mwaka lets share ni kitu gan kilichokutokea 2017 ambacho hutokuja kukisahau kamwe..my side ni mengi yame happen but kubwa kubwa kuunguliwa na vitu vyangu kwa...
Kazi zimekuwa ngumu sana na mitaji ni migumu sana hasa kwa vijana ambao hawana historia ya kuwa na familia zilizopitia 'system' za hapa Tanzania.
Vijana wanafutukuta sana lakini wapi. Wanashinda...
Huyu rafiki ulisoma nae A level, wakati huo nyumbani mlikutana mnapitia tough life na huyu rafiki alikuchukua kama ndugu yake. Chochote alicholetewa na wazazi wake alikushirikisha.
Ulipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.