Hii ni mara ya 3 naacha hela ya dagaa nakuta kuku rost tena kawekwa mpaka tangawizi

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
Salam zenu wana Jf,
Huyu mwanamke huwa simuelewi kabisa,kipato changu kidogo sana sina uwezo wa kununu ,kuku au nyama buchani inanilazimu na nimezoe zetu za tembele,dagaa mchicha.

Chaa ajabu nimeacha hela ya dagaa kama kawaida nikakuta nyama ya kuku iko mezani na hii ni Mara kama ya 3 hivi.Kuuliza nashindwa najua majibu ni mengi wanawake hua hawakosi cha kukujibu.

Nipeni ushauri nichukue hatua gani.
 
Labda anaongezea na zakwake na kununua hizo vyuku
 
Back
Top Bottom