Vyuma vimesaidia kwakweri

Vyuma vimesaidia kwakweri

Magufuri tunaomba ongeza kidogo kubana utusaidie huku maana kwa sasa wadada wote hawanuni na ukimuita anageuka haraka kama rimoti inavyozima tivi naona sasa heshima ya wanaume imeludi
Nenda dakika ya 6:35

 
Back
Top Bottom