MorTimer
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 1,195
- 968
Wanaume tumejisahau kama....:
1.Mwanamke ni pambo au ua ambalo muda wote linahitaji uangalizi na maji ili lichanue na kustawi.
2.Mwanamke anahitaji kubembelezwa/kudekezwa vijana wanaita kupet pet.
3.Mwanamke ni sawa na Mungu wa pili bila yeye kukuweka tumboni miezi tisa leo usingejiita kidume.
4.Mwanamke hapigwi ngumi bali hupigwa na upande wa Kanga..Haimaanishi umefukuzwa kazi,pombe zako,umegombana na bosi wako,vyuma kukaza basi hasira zako zote ukazihamishie kwa mkeo kwa kumpa kichapo.....!!!
Ewe mwanamke unayenyanyasa Mungu anasikia kilio chako hakika amekuandalia pepo nzuri huko mbinguni.
Ulaaniwe popote ulipo Mwanaume unayemtesa na kumpiga mwanamke kiasi hiki....Nawapenda wanawake wote duniani,nawapenda wanawake wote wa JF .