Bora nirudie maisha ya u playboy tu

e2n

JF-Expert Member
Dec 24, 2015
635
1,000
Asalamu wanajamvi humu.

Kama kichwa kinavyojieleza nimeamua kuurudia u playboy kwa mabinti maana nimeona kujifanya unapenda mtu ni donda la moyo.

Nina mpenzi wangu nipo nae kama huu sasa ni wezi wa nane. Sasa imeibuka tabia anaaga anaenda kuona ndugu zake halafu akifika huko hapokei cm mpaka atoke ndo akupigie. Sasa haya mm siyawezi bora niwe nachapa tu na kulala mbele maana hawaviumbe ukijifanya unawapenda wanakuona mwehu.
 
Gambino

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
3,573
2,000
Hahahaaa, pole sana dogo. Karibu kwenye ulimwengu wa kupenda.

Nikusadie tu, usipende mwanamke hata siku moja.

Kumpenda na kumpa mwanamke moyo wako ni sawa na kuuweka rehani, unauchezea kamari, kula na kuliwa viko sawa ingawa kuliwa ni kubwa kuliko kula.

Huu ni ushauri wa bure, uuchukue au uuache ni shauri yako.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
59,030
2,000
Asalamu wanajamvi humu.

Kama kichwa kinavyojieleza nimeamua kuurudia u playboy kwa mabinti maana nimeona kujifanya unapenda mtu ni donda la moyo.

Nina mpenzi wangu nipo nae kama huu sasa ni wezi wa nane. Sasa imeibuka tabia anaaga anaenda kuona ndugu zake halafu akifika huko hapokei cm mpaka atoke ndo akupigie. Sasa haya mm siyawezi bora niwe nachapa tu na kulala mbele maana hawaviumbe ukijifanya unawapenda wanakuona mwehu.
Watoto Bwana, Haya. Ukikua utajifunza ni wapi ulipikosea
 
e2n

JF-Expert Member
Dec 24, 2015
635
1,000
Hahahaaa, pole sana dogo. Karibu kwenye ulimwengu wa kupenda.

Nikusadie tu, usipende mwanamke hata siku moja.

Kumpenda na kumpa mwanamke moyo wako ni sawa na kuuweka rehani, unauchezea kamari, kula na kuliwa viko sawa ingawa kuliwa ni kubwa kuliko kula.

Huu ni ushauri wa bure, uuchukue au uuache ni shauri yako.
Asante nimekubali hilo
 
mbongo_halisi

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
5,194
2,000
Asalamu wanajamvi humu.

Kama kichwa kinavyojieleza nimeamua kuurudia u playboy kwa mabinti maana nimeona kujifanya unapenda mtu ni donda la moyo.

Nina mpenzi wangu nipo nae kama huu sasa ni wezi wa nane. Sasa imeibuka tabia anaaga anaenda kuona ndugu zake halafu akifika huko hapokei cm mpaka atoke ndo akupigie. Sasa haya mm siyawezi bora niwe nachapa tu na kulala mbele maana hawaviumbe ukijifanya unawapenda wanakuona mwehu.

Mwanamke si mtu anayetakiwa kupendwa, never. Mwanamke hapendi kupendwa yeye anapenda kutamaniwa tu na kuwa used, ukimpenda LAZIMA atachepuka kwa kukuona wewe fala au mwanamme wa Dar. Ukitaka mwanamke akuheshimu, kuwa na mademu kadhaa na usimfiche ili ajijuwe yuko na wapinzani ila ukikaa tu na utata wako kama vijanadume vya Dar, basi hilo limekula kwako.
 
Aiseeeeee mkuu umenifumbua macho nilikuwa sijui mm nilikuwa najifanya bingwa wa kupenda.
 
e2n

JF-Expert Member
Dec 24, 2015
635
1,000
Kama uko chini ya miaka 28,jisogeze mbele za muumba akuandalie mke,kama uko 30 and above muombe akupe mke kama uko chini ya 25 kazana sana kujenga maisha,NYEGE HAZIISHI
Sawa mkuu
 
NO04

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
1,286
2,000
swali kwako:: ukiwa naye faragha huwa anakojoa mara ngapi?
 
king otaligamba

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
1,937
2,000
Kwanza mwanaume unaanzaanzaje kuwa na mwanamke mmoja? Tambua kabisa kwanza idadi ya wanaume ni ndogo ukilinganisha na idadi ya wanawake. Sasa unapo kalili mwanamke mmoja alafu wengine watapata wapi huduma?
 
  • Thanks
Reactions: e2n

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom