Je, ni mambo yote unaweza kumwambia rafiki yako?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
54,812
2,000
Huyu rafiki ulisoma nae A level, wakati huo nyumbani mlikutana mnapitia tough life na huyu rafiki alikuchukua kama ndugu yake. Chochote alicholetewa na wazazi wake alikushirikisha.

Ulipata bahati ya kwenda USA kusoma na ulizamia. Sasa unavibali. Huyu rafiki yako amekualika kwenye harusi yake Bongo. Umekuja wiki moja kabla ya harusi na umefikia hotelini.

Unakutana na rafiki yako mnakwenda kwenye kitchen party. Kwakuwa wewe ndiye best man.

Unamuona bibi harusi kwa mara ya kwanza lakini sura yake si ngeni. Unakumbuka mlikutana kwenye hoteli uliyofikia.

Kumbe bibie alikwenda kuagana na mpenzi wake wa zamani. Uliwaona kwenye corridor wakiwa kwenye mahaba mazito.

Ukiwa kama mwanaume utachukua uamuzi gani hapa?
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Huyu rafiki ulisoma nae A level, wakati huo home mlikutana mnapitia tough life na huyu rafiki alikuchukua kama ndugu yake. Chochote alicholetewa na wazazi wake alikushirikisha.

Ulipata bahati ya kwenda USA kusoma na ulizamia. Sasa unavibali. Huyu rafiki yako amekualika kwenye harusi yake bongo. Umekuja wiki moja kabla ya harusi na umefikia hotelini.

Unakutana na rafiki yako mnakwenda kwenye kitchen party. Kwakuwa wewe ndiye best man. Unamuona bibi harusi kwa mara ya kwanza lakini sura yake si ngeni. Unakumbuka mlikutana kwenye hoteli uliyofikia. Kumbe bibie alikwenda kuagana na moenzi wake wa zamani. Ukiwaona kwenye corridor wakiwa kwenye mahaba mazito.

Ukiwa kama mwanaume utachukua uamuzi gani hapa?


Kwanza siwezi kuwa na rafiki kama huyo!
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,511
2,000
Shut up my mouth,grab a bottle of champagne and enjoy the wedding,after all harusi nimeipandia ndege naomba usintoe kwenye mstari
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Ya Ngoswe unamuachia nani Best? Ngoswe....... ewaaaaa jirushe kwenye harusi kisha panda ndege yako urudi majuu ukale bata zako.


Huyu rafiki ulisoma nae A level, wakati huo home mlikutana mnapitia tough life na huyu rafiki alikuchukua kama ndugu yake. Chochote alicholetewa na wazazi wake alikushirikisha.

Ulipata bahati ya kwenda USA kusoma na ulizamia. Sasa unavibali. Huyu rafiki yako amekualika kwenye harusi yake bongo. Umekuja wiki moja kabla ya harusi na umefikia hotelini.

Unakutana na rafiki yako mnakwenda kwenye kitchen party. Kwakuwa wewe ndiye best man. Unamuona bibi harusi kwa mara ya kwanza lakini sura yake si ngeni. Unakumbuka mlikutana kwenye hoteli uliyofikia. Kumbe bibie alikwenda kuagana na mpenzi wake wa zamani. Uliwaons kwenye corridor wakiwa kwenye mahaba mazito.

Ukiwa kama mwanaume utachukua uamuzi gani hapa?
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,836
2,000
ukiamua kutosema bas uwe unajijua una uwezo wa ku handle hio siri daima sio siku washaoana domo linakuwasha unamwambia. Mimi Binafsi kwa rafk yangu wa dhati kama nimejrdhsha kbsa demu ametoka kuvunja amri nitamtonya, ila tu kama mshkaj najua yu faithfull ila kama naye n kiruka njia namezea forever ngoma droo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom