Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Kuna hii mada hapa chini niliandika kuhusu mimba iliyotokea bila kuipanga na binti akakataa kuitoa .
Nikikataa hii mimba nitakua na kosa?
Nashukuru sasa mimba imetoka yenyewe, nadhani ni kutokana na internal complications au vyovyote ila imetoka.
Hapa najisikia kutua mzigo wa kama kilo 350 kichwani kwangu, maana hii mimba ilisababisha nikakonda gafla hasa ukizingatia sikua nimeipanga na sikua nimepanga kuzaa mtoto na mwanamke nisiempenda.
Wanawake lazima muelewe kua mwanaume anapolala na wewe sio lazima awe anakupenda, ngono na upendo ni mambo mawili tofauti.
Hii tabia ya kutegesheana mimba haina maana, mtu wa kwanza kuhakikisha unajilianda na mimba ni mwanamke, huo uwe ni wajibu wako wa msingi.
Binafsi nashukuru sana hii mimba kutoka. Kua na watoto na wanawake tofauti ni jambo ambalo sijawahi kufikiria, na hata ikitokea iwe huyo mwanamke ana sifa zile nazozipenda hata nikizidiwa huko nakuita najitafunia, sio yule mwanamke unampa mimba baada ya hapo huwezi kulala nae maisha yote yaliyobaki.