Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za wanajamii za tangia mwaka Jana, Naomba mnipe ushauri kwa suala ili linanisumbua akili yangu, mimi ni kijana nina umri wa miaka 29 ninaishi Ufaransa ndiko nimejaliwa kufanya shughuli...
9 Reactions
173 Replies
13K Views
Wasalaam, Wana JF kuna rafiki yangu wa karibu sana yaemkuta ya kumkuta. Yeye ameoa miaka 10 ilitopia na miaka kama 7 iliyopita walikuwa wanaishi kwa amani na maisha yao si haba wamechuma mali...
4 Reactions
106 Replies
12K Views
Ukisikiliza maongezi yao ni kujisifu tu, utasikia yule demu nilimkaza mpaka hatosahau, utasikia yule demu nilimpa gemu mpaka alikimbia hataki hata kuniona, really?? I mean, hakuna demu...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Ushauri wangu kwa mabinti ambao wanajiona ndo basi tena haiwezekan ..kupitia harus ya Meghan ujifunze kitu .kuachwa,kuachika,kuzalishwa,kuchelewa kuolewa haimanishi hapo ndio mwisho hell no hapo...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
ACHA KUMUENDEKEZA KAMA HAHUDUMII SELFIE ZA NINI SASA! Kama hahudumii acha kumruhusu apige picha za kuuza sura katika mitandao! Ndiyo kumezuka katabia ka wanaume kutaka kuzaa na binti mwanye...
6 Reactions
89 Replies
8K Views
Juzi rafiki yangu alinitembelea kunieleza linalomsibu katika ndoa yake.Mke wake ni mfanyakazi na yeye pia. Kinachogomba hapa mke hataki kusikia kuhusu kuhama ili amfate mume wake na pia wazazi wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu mrembo mtoto wa Kikwetu, ananidatisha. Ananipenda, Ila changamoto ni nyingi. Anasema anataka niwe Na hela nyingi, nikazitafute popote ziliko ndio tuishi wote. Nasaka hela kwa nguvu Na bidii...
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Habari zenu humu. Ok, twendeni kwenye mada kwa ambao washawahi kua na wapenzi wenye Kithembe tushee uzoefu kidogo. Binafsi mwenza wangu ana Kithembe alafu Ni nimuongeaji Sana ingawa ana Kithembe...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari wana JF, Tangu niwe mdau humu nimejaribu kufuatilia jinsi kinadada wengi wa JF wanavyochangia mada mbalimbali na kugundua madhaifu kwenye ndoa kama ifuatavyo; Wanawake wengi wa JF hawajui...
17 Reactions
331 Replies
21K Views
MWANASESERE Na, Robert Heriel Ilikuwa ni zawadi nzuri kutoka nchi za barafu. Zawadi iliyotengenezwa kwa ufundi na teknolojia ya hali ya juu. Mvuto wake uliwasogeza watoto wa nyumba ile karibu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wanaadam sisi ni viumbe wa ajabu sana baadhi yetu,hunjijui sikujui hatujuani lakini hulali hunywi huvai kutwaa wataka kujua yangu wanichukia kama nimekuchukulia chako! Mi nashindwa haswaa kuelewa...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
Kadri miaka inavyoenda na idadi ya kizazi cha watu warefu kinazidi kupungua. Kizazi hicho kinazidi kupungua hasa kwa jinsia ya kike. Wanawake wengi au karibia wote ni wafupi au saizi ya kati...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Imekua kawaida kwa baadhi ya wadada haswa wale ambao either wametendwa na majamaa zao kiasi cha kuchukia wanaume lkn hawana watoto kutamani kupata wa kumzalisha tu au wengine wadada wa mjini wapo...
1 Reactions
66 Replies
6K Views
Kutokana na kutotulia kwa mabinti na kutaka maisha ya gharama yasiyoendana na kipato cha mme na pressure ya kugharamia mke wengi wa wanaume wanapenda angalau apate ujauzito ndo aoe ili hata kama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapa siwazungumzii mama zetu a( wa mama walio zaliwa miaka ya hamsini kushuka chini na walio zaliwa at least before 1966 ).Hawa walikuwa wanajitambua sana..Big up sana kwao. Wala siwazungumzii...
8 Reactions
33 Replies
6K Views
Pesa za wanaume huvutia wanawake wavivu pekee na wasio tambua thamani yao. Mwanamke anaejitambua na kufanya kazi zake kwa bidii kwa mikono yake mwenyewe. Mwanaume aliye na pesa kwake huwa ni...
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Kwa kweli nikiona mwanamke kavaa khanga hisia za kufanya nae ngono zinaongezekaga kwa kasi sana. Tena umkute mwanamke anayejua kujifunga vizuri khanga aisee dah lazima udate kidume. Lakini...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Watalaam wa masuala ya utafiti wamekuwa wakijita kufanya tafiti mbalimbali Duniani kote leo May 18, 2018 nakusogezea utafaiti unaosema Wanaume ambao wana wachumba wanene huishi maisha marefu na...
0 Reactions
88 Replies
17K Views
Tatizo ambalo limekuwa likiwakuta wapenzi wengi wanaoanzisha uhusiano wa kimapenzi wenye mwelekeo wa maisha ya ndoa ni kuingizwa ‘mkenge’ kwa kufichwa baadhi ya tabia mbaya na wapenzi wao...
9 Reactions
71 Replies
13K Views
Hivi mziki unashawishi watu kwa kiasi gani kutamani kuingia kwenye mapenzi. .. maana binafsi leo kuna wimbo nilikuwa nasilkiliza nikajikuta mawazo yangu yameenda mbali saaanaaa.. nikajiweka...
5 Reactions
124 Replies
49K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…