Hunijui sikujui inakuaje unanichokoa chokoa

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,379
Reaction score
56,095
Wanaadam sisi ni viumbe wa ajabu sana baadhi yetu,hunjijui sikujui hatujuani lakini hulali hunywi huvai kutwaa wataka kujua yangu wanichukia kama nimekuchukulia chako!

Mi nashindwa haswaa kuelewa au wajifanya wanijua kama umenzaa weye vile au labda tumekua wote nyumba moja au tumezaliwa pamoja!

Tusipende kutengeneza mahusiano hasi kila uchwao,kwa nini tusiishi kwa furaha muda wote,kwa nini ujitengezee maadau usiwajua au kutafuta umaarufu kunuka?[emoji57] [emoji57] [emoji57]

Wengine huwaga tuna tabia za kujishusha mnoo kwa wakubwa na watoto,ukinikosea nikiona nataka kutengeneza uadui ntakuomba radhi ili tu 'kufunika kombe mwanaharamu api'nikikukosea ntakuomba msamaha mpk ntahakikisha umenisamehe na ntajipendekeza mpk moyo wako uridhike

Na siyo tunavoomba misamaha kua tunawaogopa hapana ,naheshimu mdogo na mkubwa moyo wangu Mimi ulivyo hata mtoto mdogo namtaka radhi endapo ntakua nimemtenda kitu kisicho sahihi!

Maisha ni mafupi mnoo,na inabidi yaendelee kwa hali yoyote.Kwa nini utengeneze zaidi maadui kuliko marafiki?kwa nini utafute hasama kwa nguvu kuliko Amani!

Wengine mioyo yetu iko tofauti,kiasili wengine tunaamini ktk marafiki zaidi wa amani kuliko maadui!

Usipende kutafuta undani wa mtu au kujifanya wewe ndo bingwa wa kutengeneza maugomv au kuendeleza hasama!!Usijifanye 'ndimu mkata shombo'wakati ni wewe mwenyewe shombo tosha haufai kulumagia hata kwa ugali!!!

Tujifunze kuheshimiana,heshimu kila mtu,usitafute umaarufu kunuka ambao hauna mbele wala nyuma!

Mwingine alikua rafiki yako kufa na kuzikana mmekwazana basi siri zote hadharani!aiseee yaani Mimi sinaga msamaha na mtu wa hvyo kamwe huwaga sikusamehi asilani kwa sababu wewe ni mnafiki na muuaji maana hata nikikusamehe tukarudisha urafiki sitakuamini tena and can't stand that at all!!!!

Mwingine mpenzi wako mmeachana basi mtaa mzima mambo hadharani [emoji1] [emoji1] [emoji1] ili iweje sasa!Tumekutana kimjinimjini na tuachane kimjinimjini ili maisha yaendelee!!UKIACHWA ACHIKA tumeacha kunyonya maziwa ya mama zetu sembuse weye binadaamu!

Mwingine anakujua kimtindo siku mkikwaruza anaanza kuibua mambo yako personal mtu wa aina hiyo hanaga airtime kwangu hata kama ni ya kweli why uniongelee Leo kwa kua tumepishana!Hii Ina maanisha wewe ni mnaafiki na una chuki na wivu!

Tujifunze kuishi maisha yetu bila kukwaruzana na watu tuheshimiane,tujifunze kuheshimu hisia za watu usichopenda kufanyiwa usithubutu kumfanyia mwenzio!!!
 
swahili, mswahili na uswahilini hizo mambo zipo sana, mbaya zaidi hazikwepeki zaidi ya kumshushia kibano tu mtu akiingia ktk18
 
ni kweli lakini mambo haya yapo mpaka ktk sehemu za kazi, inategemea ni kazi ipi na mazingira, wengine kazi zetu ni za kibabe, mambo ya usnitch humalizwa kibabe babe
Hahahaha au sio?? Ila ndio maisha tumelelewa tofauti tumekuzwa mazingira tofaut binadam n mfano wa vidole havilingani na hatuwez kwenda sawa tunavumiliana tu
 
Wengine ngumi hatuwezi ndipo unapojifungia ndani kwako masaa 24 uko na simu,ukitoka jf whasap IG mwisho waambiwa wajidai
 
Muungwana akivuliwa nguo hasimami huchutama, haina haja ya kutumia nguvu tumia akili nyingi tu kuepusha shar
Sana tu Mara nyingi hua tunajishusha kuepuka Shari au Mara ingine unampotezea but still anakufatilia mpk kukutia vidole machoni
 
ni kweli lakini mambo haya yapo mpaka ktk sehemu za kazi, inategemea ni kazi ipi na mazingira, wengine kazi zetu ni za kibabe, mambo ya usnitch humalizwa kibabe babe
[emoji23] [emoji1] [emoji1] utapigana na Wangapi?

Kukaa kimya ni jibu la mjinga!!!
 
Hahahaha au sio?? Ila ndio maisha tumelelewa tofauti tumekuzwa mazingira tofaut binadam n mfano wa vidole havilingani na hatuwez kwenda sawa tunavumiliana tu
That's it!!!we do differ a lot!!!
 
Mtoa mada wewe attitude yako inafanana na ya kwangu kuna binadamu huwa sijui wana matatizo gani.
 
Ni kuwapuuzia tuu hakuna namna ingine.

Huwezi mfurahisha kila binadamu, nenda na wale wanaokuelewa tuu hao wengine wapuuze
 
Wanaadam sisi ni viumbe wa ajabu sana baadhi yetu,hunjijui sikujui hatujuani lakini hulali hunywi huvai kutwaa wataka kujua yangu wanichukia kama nimekuchukulia chako!

Mi nashindwa haswaa kuelewa au wajifanya wanijua kama umenzaa weye vile au labda tumekua wote nyumba moja au tumezaliwa pamoja!

Tusipende kutengeneza mahusiano hasi kila uchwao,kwa nini tusiishi kwa furaha muda wote,kwa nini ujitengezee maadau usiwajua au kutafuta umaarufu kunuka?[emoji57] [emoji57] [emoji57]

Wengine huwaga tuna tabia za kujishusha mnoo kwa wakubwa na watoto,ukinikosea nikiona nataka kutengeneza uadui ntakuomba radhi ili tu 'kufunika kombe mwanaharamu api'nikikukosea ntakuomba msamaha mpk ntahakikisha umenisamehe na ntajipendekeza mpk moyo wako uridhike

Na siyo tunavoomba misamaha kua tunawaogopa hapana ,naheshimu mdogo na mkubwa moyo wangu Mimi ulivyo hata mtoto mdogo namtaka radhi endapo ntakua nimemtenda kitu kisicho sahihi!

Maisha ni mafupi mnoo,na inabidi yaendelee kwa hali yoyote.Kwa nini utengeneze zaidi maadui kuliko marafiki?kwa nini utafute hasama kwa nguvu kuliko Amani!

Wengine mioyo yetu iko tofauti,kiasili wengine tunaamini ktk marafiki zaidi wa amani kuliko maadui!

Usipende kutafuta undani wa mtu au kujifanya wewe ndo bingwa wa kutengeneza maugomv au kuendeleza hasama!!Usijifanye 'ndimu mkata shombo'wakati ni wewe mwenyewe shombo tosha haufai kulumagia hata kwa ugali!!!

Tujifunze kuheshimiana,heshimu kila mtu,usitafute umaarufu kunuka ambao hauna mbele wala nyuma!

Mwingine alikua rafiki yako kufa na kuzikana mmekwazana basi siri zote hadharani!aiseee yaani Mimi sinaga msamaha na mtu wa hvyo kamwe huwaga sikusamehi asilani kwa sababu wewe ni mnafiki na muuaji maana hata nikikusamehe tukarudisha urafiki sitakuamini tena and can't stand that at all!!!!

Mwingine mpenzi wako mmeachana basi mtaa mzima mambo hadharani [emoji1] [emoji1] [emoji1] ili iweje sasa!Tumekutana kimjinimjini na tuachane kimjinimjini ili maisha yaendelee!!UKIACHWA ACHIKA tumeacha kunyonya maziwa ya mama zetu sembuse weye binadaamu!

Mwingine anakujua kimtindo siku mkikwaruza anaanza kuibua mambo yako personal mtu wa aina hiyo hanaga airtime kwangu hata kama ni ya kweli why uniongelee Leo kwa kua tumepishana!Hii Ina maanisha wewe ni mnaafiki na una chuki na wivu!

Tujifunze kuishi maisha yetu bila kukwaruzana na watu tuheshimiane,tujifunze kuheshimu hisia za watu usichopenda kufanyiwa usithubutu kumfanyia mwenzio!!!
kulikoni dada
 
[emoji23] [emoji1] [emoji1] utapigana na Wangapi?

Kukaa kimya ni jibu la mjinga!!!
mkuu kumpiga mtu si ngumi tuu, hata kwa akili pia, wapo watu akili nyingi na hukaa kimya kimya hivi, ila ukiingia ktk kumi na nane zako wala hakugusi ila utashangaa mambo yako ghafla tu uko chali
 
Back
Top Bottom