Utafiti: Wanaume wenye wanawake wanene huishi maisha marefu, yenye furaha

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Watalaam wa masuala ya utafiti wamekuwa wakijita kufanya tafiti mbalimbali Duniani kote leo May 18, 2018 nakusogezea utafaiti unaosema Wanaume ambao wana wachumba wanene huishi maisha marefu na yenye furaha ikilinganishwa na wale wembamba.

Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na Dr. Filemon Alvarado na Dr. Edwagardo Morales katika chuo kikuu kimoja nchini Mexico.

Aidha utafiti huo umeonesha kuwa wanawake wanene huwa wana ujasiri na mara nyingi hawakasiriki upesi.

Musyoka John ambaye ana mke ‘mwembamba’ ameeleza kuwa mara nyingi mkewe humhangaisha na hawana uhusiano mzuri katika ndoa yao.

Ameeleza kuwa mkewe anapoamua kufanya jambo ama kukataa, kamwe hawezi kugeuza msimamo wake
.
d818129269556ed328a3bf61b55b75b6.jpg

IMG_20180518_180126.jpg
 
Utafiti wangu mdogo ni kuwa;

Wanawake wanene wanajua sana kuandaa chakula, ilhali hali ni tofauti kabisa kwa wale wenzao ambao mapishi yao ni sifuri.

Ingawa kwa swala la Usafi, wanene wengi ni wavivu kidogo na wale ndugu zetu wengine ni wasafi sana.
 
Sina mana ya kumsema mtu vibaya ila wanawake wembamba wanakuwaga wana viroho vigumu sana. Hata kusamehe ni wagumu ile mbaya.
Kila mwanamke huwa na faida na mapungufu yake anyways.
Nawaheshim wanawake wote na ntaishi na yyte anaye nifaa regadless ya unene au wembamba.
 
Jamaniii ila wanawake wembamba nawaaminia hawataki mchezo kabisa ukiwavuruga tu sio utegemee msamaha kiurahisi rahisi hakunaga hiyo na wakipenda wanapenda kweli

Eeeh unawapata vyema, ila nao kuna watu wana waweze tuu wakipata kiboko yao.
Sasa awe mwembamba halaf ana ki Masters chake hapo au ana vijihela aaah
Lazma uone moto mwanaume.
 
Back
Top Bottom