Kupitia Meghan kuna ya kujifunza. Mwanamke usikate tamaa

binti singeli

Member
Oct 2, 2016
17
75
Ushauri wangu kwa mabinti ambao wanajiona ndo basi tena haiwezekan ..kupitia harus ya Meghan ujifunze kitu .kuachwa,kuachika,kuzalishwa,kuchelewa kuolewa haimanishi hapo ndio mwisho hell no hapo ulipokata tamaa ndipo mungu anapoanzia..wew ni wathaman sana usijidharau!!!
NIMEGUSWA KUWATIA MOYO WANAWAKE .@MRS FLAN.
 

Konsciouz

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
4,823
2,000
Yule demu ni celebrity huko Hollywood.
Prince kafuatilia sana series ya SUITS.
Sasa nyie mnaojipa moyo... Sijui!
 

Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,646
2,000
Nilizaliwa familia MASIKINI Sanaa!.
Lakini nilijitahidi niwe Na moyo wa huruma kwa watu!.

Katika mahusiano niliwahi kukataliwa Na wengi kisa ya ufukara Na Hali yangu!.

Nilitokea kuachwa Na mwanamke niliyempenda eti kisa nilikuwa kapuku!.

Naendelea......
 

Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,646
2,000
Hali hiyo ikanifanya ni pambane kwa ajili ya maisha yangu Na familia yangu!.

Rafiki wa mtu ambaye aliniacha.
Alijitahidi kuwa karibu Na mimi Na kunifariji. ...

Tukatokea kupendana
Japo,alinizidi kwa mali Na mengineyo but alionesha kuridhika Na Hali yangu.....
 

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,728
2,000
It is a lesson to many women.

Kumng'ang'ania mwanamme huku ni dhahir hakupendi wala hakuheshimu kusiwepo kabisa.

Kingine, there is love after love. Unaweza penda na kupenda tena baada ya mahusiano ya awali kuvunjika.

Also, good men do exist.

Never give up especially these fine single ladies ambao kila siku wanasemwa na miboya ya JF.

Good Luck Ladies.
 

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,728
2,000
Tatzo likawa kwa Yule manzi aliyenitema coz alikuwa anampapu rafiki yake aachane Na me!.
But Mungu ni wa ajabu Sanaa!?
Mpango huo ulifail..

Hatimaye tukafanikiwa kuoana kwa kufunga ndoa!..
Japo haikuwa ya fahari but niliweza funga naye ndoa coz
Alionesha kunijari Na kuridhika Na Hali yangu.....
Mnnnnh.

Hali ipi?

Rejea yuza nem.
 

Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,646
2,000
Kipindi cha mwanzo cha ndoa yetu kilikuwa Na changamoto nyingi Sanaa . Coz ndugu wa Yule mwanamke waliamua kumtenga .mke wangu coz ya kukubalia kuolewa Na mimi MASIKINI!.....
 

Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,646
2,000
Nikiwa kama kichwa cha familia ikabidi nipambane Na Hali ya maisha!.

Mke wangu akawa anashinda migodini Na shambani WAKATI huo Mimi nikiwa nahangaika Na masomo yangu ya chuo kwa WAKATI huo!.
Coz baada ya kuwa na Yule mke wangu,kwao ilionekana ni kama mikosi so ikabidi wasitishe kumsomesha!....
 

uduzungwa

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
551
1,000
Hizo ndoto sio kwA Tanzania hii. Sasa we jibebeshe mimba ukitegemea utaolewa tena.
 

Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,646
2,000
Sorry nipo Na andika kiufupi coz Mimi siyo mwandishi also lugha Kidogo inaanza kunipotea!...
.
Nikirudi nyuma Kidogo...
Kipindi ambacho nilikuwa mdogo kuna kitu /vitu niliwahi kuviona Na kushuhudia kwa macho yangu! Pia niliwahi pelekwa
sehemu secret ambayo sikuitambua kwa kipindi hicho nikiwa Na umri wa miaka 5/7....

Baada ya miaka KUPITA Na nikiwa chuo. Siku moja nikiwa narudi maskani nikistaajabu kukutana Na raia wawili wa ki America ambao
M1 alikuwa ni mzee wa makamo Na mwingine alikuwa ni mwan dada!.

WAKATI huo mke wangu alikuwa kijijini huko akilima vibarua Na kushinda migodini.....
 

Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,646
2,000
Wale raia wa USA .
Waliniita jina ambalo nilikuwa silifahamu Wala silitambui so ikawa ngumu kuelewana nao!..

Lakini wakanielewesha kwa kusema kuwa "kwa muda mrefu tumekuwa tunakufuatilia Na muda umefika wa kukuchukua ili ukatumike Na sisi"
Kwa kweli nilishangaa Na kwa kipindi hicho nilidhan Na kuamini lazima watakuwa
Watu wa kunyonya damu/wachuba ngozi kutokana Na skendo za kipindi kileee....
 

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
16,036
2,000
Wale raia wa USA .
Waliniita jina ambalo nilikuwa silifahamu Wala silitambui so ikawa ngumu kuelewana nao!..

Lakini wakanielewesha kwa kusema kuwa "kwa muda mrefu tumekuwa tunakufuatilia Na muda umefika wa kukuchukua ili ukatumike Na sisi"
Kwa kweli nilishangaa Na kwa kipindi hicho nilidhan Na kuamini lazima watakuwa
Watu wa kunyonya damu/wachuba ngozi kutokana Na skendo za kipindi kileee....
Mkuuu , nakuomba, uanzishe uzi wakipekee kuhusu hii story ya maisha yako, iman yangu itambadili mtu mmoja kwa namna fulani.

Jitahidi sana mkuu!!
 

Inferior Complex

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
3,646
2,000
Ilikuwa ni ngumu sana Mimi kukubaliana nao !.
Lakini kutokana Na umasikini Na nguvu ya pesa ikanilazimu nikubali Ila kwa masharti ambayo niliwapa!.

Lakini jambo ambalo lilinitatiza ni jinsi ambavyo walinijua
Hususani yale maruwe ruwe niliyokuws nakutana nayo kipindi nipo mdogo
Naendelea....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom