Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,639
- 2,086
Kwa kweli nikiona mwanamke kavaa khanga hisia za kufanya nae ngono zinaongezekaga kwa kasi sana.
Tena umkute mwanamke anayejua kujifunga vizuri khanga aisee dah lazima udate kidume.
Lakini wanawake wengi hii siri hawajaigundua ,wanajifanya uzungu mwingi ,,wengi wanakwepa kuvaa khanga eti wataonekana wazee
Hii siri niwamegee wanawake mliopo humu ,jifunzeni kujifunga khanga kimahaba mtatupata sana wanaume wakware kama mimi.
Huwa inavutia sana unarudi matembezini unamkuta mpenzi wako kavaa khanga laini na chupii tu ndani kisha anakuja kukulalia mapajani huku akikulembulia macho na kukupa maneno matamu matamu na kukushika shika ndevu na kifua au ukiwa umempakata....
Haki ya nani ukitaka kuniteka mimi kama wewe ni mwanamke nivalie khanga nyepesi ndani uwe na chupi tu hapo nitakupa hata maini yangu yaliyopo tumboni